Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

[emoji1] [emoji1]
daah hapa kanimaliza aseeh afadhali hata angenifananisha na kaRunx.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimejiandaaa vya kutosha kutengua tunguli
 
Naona unanivimbisha bichwa hili, gari zote zipo level ya juu siwezi kufanana nazo.

Mimi nafikiri naweza kuendana na mkokoteni tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…