lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Ujanja kula vyakula vichafu ??Basi wewe bado si mjanja
Ujanja kula vyakula vichafu ??Basi wewe bado si mjanja
umejuaje kuwa vichafu na haujawahi kula pale?Ujanja kula vyakula vichafu ??
Mtoa mada ana bifu na wauza mihogona samaki cocoKwa hiyo jana ulikula sehemu moja tu mkuu baada ya wewe kula ndio ukagundua kuwa wanatunza samaki kwa wiki mbili na pia wanatumia mafuta machafu sio..
Acha kuchafua biashara za watu. Kwa Mtaji upi anunue samaki akaange wa kukaa wiki 2 katika fridge?Kwa hiyo jana ulikula sehemu moja tu mkuu baada ya wewe kula ndio ukagundua kuwa wanatunza samaki kwa wiki mbili na pia wanatumia mafuta machafu sio..
Alitamani apige na picha wazawa nawajua vizuri sana...Mtoa mada ana bifu na wauza mihogona samaki coco
Nakula Sana pale Aslay Mihogo wanajitahid mno. Wameajiri wadada wengi hivi karibuni unapewa huduma Hadi kwenye gari. Sema wadada wengi wanavaa ushungi wajitahidi kujipulizia pafyumu. Harufu ya kilwapa inakata stimu sanaAlitamani apige na picha wazawa nawajua vizuri sana...
Mkuu mbona unanivamia mzala nimeandika kwa code ili jamaa atembee tu watu miaka nenda rudi wanakula hapo yeye katoka zake huko leo anaandika uzi tusile mihogo hapo..Acha kuchafua biashara za watu. Kwa Mtaji upi anunue samaki akaange wa kukaa wiki 2 katika fridge?
Pita jioni uone wenye hela zao wanavyonunua hizo bidhaa bila madhara.
Tafuta sababu sahihi ila sio hiyo.
Litaweza kuhimili deni la taifa kweli?Wakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.
Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.
Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.
Sharing is caring wakuu.
Yamenikuta mpaka najuta kuvalia bukta, kibwebwe 🎶🎶Yamenikuta GWM ft II Proud 😂😂
Shuuda Kama hizi za mtoa maada zijaanza kuzisikia leo,Mazingira ya watu kibao,huwa siridhishwi na Mazingira ya pale,.unataka nibeti tumbo langu kwa samaki wakijani na mishikaki ya nyau??umejuaje kuwa vichafu na haujawahi kula pale?
😁😁😁😁 Yamenikuta Mzee mwenzangu Yamenikuta dahhYamenikuta GWM ft II Proud 😂😂
Kimsingi Tanzania ni nchi iliyofeli kwa kila kitu hivyo watu wanaishi kijanja janja sana. Ni kila eneo. Iwe hospital, iwe polisi cases au mahakama. Kiufupi kila mtu analipia matokeo ya kukubali kutawaliwa na viongozi wa hovyo na wahuni. Hakuna short-cut hata kama tungeanzisha thread milioni moja kila siku. Lazima tuanze upya, katiba nzuri yenye kutoa ruksa kwa wananchi kuchagua viongozi wazuri na kuwawajibisha pale wanapokosea.Hapana mkuu, samaki na mihogo haiwezi kua ni chakula kugeni kwangu mathalani kwa mtanzania yeyote.