Baadhi ya mihogo na samaki Coco Beach si salama, kuwa makini unapokula

Wakuu, habari za jumapili.

Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.

Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.

Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.

Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.

Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.

Sharing is caring wakuu.
Sijua kwa nini muhogo na samaki kwa nini isiwe labda samaki na ndizi?
 
Mkuu mboba wahindi wao wanapenda kwenda kula mihogo
Sehemu wakila wahindi,wachina,wazungu,waarabu,wahdzabe,ndio kipimo chako Cha ubora??kula unapopenda mkuu Mimi tu sipo comfortable kula pale..tho nishakula vitu vya ajabu maeneo ya ajabu..
 
Wakuu, habari za jumapili.

Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.

Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.

Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.

Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.

Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.

Sharing is caring wakuu.
Mihogo yoote ya uswahilini huku tena tunaisubir kwa foleni wewe hujaiona ukarnda coco beach?
 
Wakuu, habari za jumapili.

Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.

Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.

Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.

Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.

Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.

Sharing is caring wakuu.
Acha uongo, inamaana tangu asbh mpaka usiku umekula hapo tuu, mm nakulaga kila leo sijawahi umwa tumbo ila wewe ni kaongo jamani
 
Asilimia kubwa pale kwenye mihogo pamevamiwa

Ova
 
Wakuu, habari za jumapili.

Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.

Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.

Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.

Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.

Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.

Sharing is caring wakuu.
Msiharibu biashara ya vijana. Ikitokea kwa mmoja basi sio kwa wote. Hata hoteli ya nyota tano unaweza kula chakula tumbo likakataa.
 
Wakuu, habari za jumapili.

Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.

Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.

Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.

Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.

Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.

Sharing is caring wakuu.
Kwani for the past 24 hours ulikula coco tu?
 
Usafi si salama sana pale nzi ni kama daladala vyakula vipo wazi Wala hawajali afya za watu bali pesa zao.
 
Back
Top Bottom