Sijua kwa nini muhogo na samaki kwa nini isiwe labda samaki na ndizi?Wakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.
Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.
Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.
Sharing is caring wakuu.
Mkuu mboba wahindi wao wanapenda kwenda kula mihogoUjanja wangu wote sijawahi kula pale na kila siku napita...
Sehemu wakila wahindi,wachina,wazungu,waarabu,wahdzabe,ndio kipimo chako Cha ubora??kula unapopenda mkuu Mimi tu sipo comfortable kula pale..tho nishakula vitu vya ajabu maeneo ya ajabu..Mkuu mboba wahindi wao wanapenda kwenda kula mihogo
Nakupa na hili,natunga shairi kwa kiswahili,nauri yenye mia na hamsini bora niende kwa mama ntilie anijazie,eebana tobaaa!!Yamenikuta mpaka najuta kuvalia bukta, kibwebwe 🎶🎶
Mihogo yoote ya uswahilini huku tena tunaisubir kwa foleni wewe hujaiona ukarnda coco beach?Wakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.
Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.
Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.
Sharing is caring wakuu.
Watuwenye kuijua Coco Beach wamekataa andiko lake.Unaharibia watu biashara hasa wafanyabiashara wadogo wadogo
Kula tena mara mbili tatu hivi uweze kujustify findings zakoMkuu rudia kusoma mada uelewe. Kabla hujakutupuka kuandika chochote, soma mada kwanza uielewe.
Hana marinda unategemea nn?Tumbo lako siyo himilivu.
Litaweza kuhimili deni la taifa kweli?
Acha uongo, inamaana tangu asbh mpaka usiku umekula hapo tuu, mm nakulaga kila leo sijawahi umwa tumbo ila wewe ni kaongo jamaniWakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.
Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.
Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.
Sharing is caring wakuu.
Msiharibu biashara ya vijana. Ikitokea kwa mmoja basi sio kwa wote. Hata hoteli ya nyota tano unaweza kula chakula tumbo likakataa.Wakuu, habari za jumapili.
Hii mada ni kama tahadhari tu kwa watu wengine yasije kuwakuta kama yaliyonikuta jana.
Jana nilikua na maeneo ya masaki, baada ya shughuli zangu mdau mmoja akapendekeza tukale Coco Beach mihogo, basi tukajongea pale na kupata chakula.
Nilikula samaki na mihogo 2, wakuu toka jana jioni sitoki ndani, yaliyonikuta sio ya kawaida. Sasa nimejaribu ku share na jamaa zangu wengine kama 2 wanaoishi maeneo yale, nikaulizwa kama nilikula kwenye vibada vile vimepangana pale, nikasema ndio.
Jamaa wakanisisitiza kwamba nisirudie kula kwenye vile vibanda, wanakaangia chakula mafuta machafu, samaki wanakaangwa wanakaa hata wiki 2 kwenye fridge, kwa ujumla vile vibanda haijalishi ni cha nani ukila kula kwa tahadhari yako.
Wakuu ili yasije kuwakuta kama yaliyonikuta, nashauri kama hujawahi kwenda pale basi usiende na kama unaenda basi usije kusema hujatahadharishwa.
Sharing is caring wakuu.
Kwani for the past 24 hours ulikula coco tu?Wakuu, habari za jumapili.