Baadhi ya miradi ya uwekezaji inayoweza kufanywa na wastaafu


Wakat wabongo anakwambia biashara gani ya kufanya baada ya kustaafu.. sasa ufanye biashara tena.. basi hujastaafu ila umeachishwa kazi kutokana na umri
 

Sasa hardware ni kaZi ya mstaafu.. yaan aamke aanze purukushani za kufungua duka mara kufata material mara kuoambana na TRA.. hiyo sio kazi ua kustaafu

Kazi kustaafu unatakiwa isichoshe akili..

Kipato chake kinatakiwa kiwe passive maana yake hata akiamua mwez mzima au mwaka hajapita kwenye hiyo biashara pesa inaingia..

Mdau kasema hapo mstaafu anatakiwa awe na uhuru wa mda anawwza akasafiri anavyojisikia na huku nyuma maokoto yanaingia..

kama Anafanya kazi na hana uhuru na mda wake huyo haja staafu sema kaachishwa kazi kutokana na umri

Asilimia kubwa ya biashara hapo juu ulizozitaja ni aidha mstaafu awe na mtaji mkubwa sana kias kwamba afungue kampuni aajiri hadi CEO ndio atakuwa na uhuru walau kidogi na mda wake otherwise sio biashara za mstaafu hizo
 


Nchi za wenzetu (US) taratibu zao za mambo ya kustaafu wanakwambia hakikisha una pesa ambayo itakuhudumia kwa miaka 30. Katika rate ya 4% - 7% kwa mwaka mara baada ya kustaafu

Maana yake wanataka uwekeze ili ukija kustaafu uwe na pesa ya kustaafu na hiyo pesa uwe unaweza kuitumia 4% yake kila Mwaka kwa mda wa miaka 30. Kumbuka hapo washa factor in inflation

Hicho ndio kikokotoo cha, ni kipo online
 
Dah mnamsagia sana kuNguni mzee, dina si ndio inatakiwa kulikomunga mweupe
Hahaha...............nilitumia Ushauri wa Prof Janabi kumshauri Mwamba 🤗
 
Huku kwetu hali ni tofauti

Kwanza unakuta Mstaafu Hana hata nyumba ya kuishi, hapo Kikokotoo kipya kinakupa 33%

Kwahiyo maisha ya wastaafu lazima yawe magumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…