Baadhi ya misamiati inayotumika JF na maana zake

Wamredio,ngwengwe yamesimama kwa niaba ya UKIMWi

Booster -kwaniaba ya ARVs

Tatu kenge kwaniaba ya wasomi wanaookotwa jalalani baada ya kustaafu au kuhitimu masomo yao na mabalozi wasiotaka kujiuzuru kama sloslo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…