Teeth- TISS aka wazee Wa kaunda sutiMeno?
Mnalitumia jukwaa la jamii intelligence ambalo sijawahi kufika sio
Hahahaaa. Lol.Uliza tu mtani
Ndio nani huyoMadipresheni🤣
imeandikwa,Kijana umekula ?
Sogea vijana hapa upate hata Dafu mbili kukazia siku.
Kulikoni?
Wewe hapo, na wenzio.Ndio nani huyo
Jamaa anasema neno popoma hajui maana yakeKulikoni?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mwashambwa== Mtu aliyelaaniwa ( toka tumboni Mwa mamaye )
Wenzangu wapi waimba kwaya au?Wewe hapo, na wenzio.
Udyudyu huu mkuu?Mkuyenge
Tikiti pachaMtaro,ubingwa,rinda= mkyundu
DadekkiMbususu maana ake ni mzabzab
Mjulubengaa ila watu wa JF😂😂
Wafuasi wa ccm ya JiweHivi mataga ni nini?
Makinikia=singo mazaTikiti pacha