Baadhi ya misamiati inayotumika JF na maana zake

Kijana umekula ?
Sogea vijana hapa upate hata Dafu mbili kukazia siku.
imeandikwa,
mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.

Na,
asiefanya kazi hastahili kula,
na kwahivyo siwezi kula mpaka nihakikishe kazi ya kuwaelewesha na kuwaondoa kwenye utumwa wa kifikra nimeikamilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…