Baadhi ya mitaa ya jiji la Teheran Nchini Iran .

Hata hao Iran hawakwepeki kwa sababu huwezi kuishi bila mafuta.
Ona huyu ustaadhi, kwamba mafuta yapo Iran tu? Hujui USA ana reserve kubwa sana ya mafuta? Zanzibar? Quwait etc tumia google ya beberu upate maarifa hayo
 
Kwa msaada wa gugo ya Beberu. alafu ukimaliza kuapload hizo picha unasema"marekani hataki watu wajue vile Iran imeendelea" wakati hizo picha umezitoa kwenye saver za gugo ambayo ni mali yake.
Marekani ni mbeba lawama wa dunia😁
ukubwa jalala
 
Kuna nchi kimejengwa kipande kifupi cha barabara ya njia 8 basi wafuasi wa kiongozi wa nchi hiyo maarufu kama "push gang" wamemsifia utafikiri kaumba dunia nyingine!
 
Ona huyu ustaadhi, kwamba mafuta yapo Iran tu? Hujui USA ana reserve kubwa sana ya mafuta? Zanzibar? Quwait etc tumia google ya beberu upate maarifa hayo
Kama hawauzi Marekani basi wanauza sehemu nyingine za dunia sio razima wauze Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…