Baadhi ya nchi za Afrika na tabia za watu wao

Baadhi ya nchi za Afrika na tabia za watu wao

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
1)Nigeria watu wa Nigeria ni wapambanaji saana

2)Warundi na RCA ( republic centre african) hawa watu hawajiamini kabisa

Cameroon most of people's kutoka Cameroon ni watu wenye kiburi saana watu wenye kujiona kuwa ni bora kuliko wengine

Ivory coast: Wacheshi saana

Kenya and Egypt: Ni watu ambao wanajikubali saana

DRC ni watu ambao wanapenda sifa sana

Burkinafaso: Waongo saana

Uganda ni watu na bahati zao hawa

Tanzania: Most of people's kutoka Tanzania wengi ni waoga Sana

Rwanda: Most of people's kutoka Rwanda ni watu wenye akili

Tutaendelea kesho acha ni pumzishe fuvu langu
 
Watanzania ni wakatimu na upendo wa kutosha...wala sio waoga ni watu wa kupuuza...kama umeshawah kaa gerezan..unakuta wale wasomali au waethiopia wana uhuru na aman utazan wapo nchini mwao...huwez kuta wanabaguliwa either na wafungwa au maofisaa
 
Watanzania ni watu wakarimu sana na wenye ujamaa kuzidi taifa lolote Africa.
Ukarimu ni adimu pia sana siku hizi kwenye ofisi nyingi za umma na polisi, labda ilikuwa huko zamani.
 
Watanzania ni wakatimu na upendo wa kutosha...wala sio waoga ni watu wa kupuuza...kama umeshawah kaa gerezan..unakuta wale wasomali au waethiopia wana uhuru na aman utazan wapo nchini mwao...huwez kuta wanabaguliwa either na wafungwa au maofisaa
Sasa gerezani wote wafungwa mnabaguana ili iweje!
Njoo kwenye siasa na fursa nyingine uzungumze hayo maneno kama utaeleweka
 
watanzania kama tungekuwa tunaimba taarabu na mkuu wetu ndio kingozi. basi njimbo ya DRAMA ingeshika Billboard na kuchukua tuzo za gramijawai tokea duniani
 
Sasa gerezani wote wafungwa mnabaguana ili iweje!
Njoo kwenye siasa na fursa nyingine uzungumze hayo maneno kama utaeleweka
Aliyeakuambia gerezan wote wafungwa nani?
 
Labda uwe race nyingine, ilhali ni ngozi nyeusi, hamna kitu hapo.
Hii ngozi itakuwa ina shida mahali asee..

Fuatilia hao wanigeria walichomfanya ndugu yao Dangote mpaka kaamua kuwasusia kiwanda chake kipya cha kurifine mafuta.
 
Back
Top Bottom