FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tumepata taarifa kupitia vyombo mbali mbali vya kimataifa juu ya nchi kadhaa zilizoweka total lockdown na baada ya uchumi kuyumba na njaa kuwa kali wakaamua kuondoa lockdown, kisha visa vya Corona vikashoot juu kwa kasi kwa mara nyingine tena, na sasa wanafikiria kurudisha tena lockdown. Nchi hizo ni kama Germany na South Korea.
Uingereza nao wanatoa lockdown na wamesema wakihisi tu visa vinapaa tena basi hawatasita kuwafungia tena ndani wananchi, (Total lockdown).
Je, hii inatufundisha nini juu ya busara za mheshimiwa Rais?
Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka - JamiiForums
Boris Johnson: Tujifunzeni kuishi na Corona tutakuwa nayo kwa muda mrefu - JamiiForums