The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Busara gani, ya kutaka tupige kazi huku yeye amejificha vichakani kwao?
Kwa kua misukule kazi yenu ni kusifu hamjisumbui hata kutafta taarifa. Nchi nyingi hawajaweka lockdown ila walichukua hatua za kueleweka.
Lockdown hua sio ya milele kwamba haitaondolewa, hua ni haizidi siku 21 with extension kutegemea na hali itakavyokua. Lockdown imesaidia sana .
Sisi huku tulichokifanya ni kufunga shule tu na viongozi kukimbia kwenda kujificha.
Ndio maana nchi nyingine wameamua kutulock out kwa sababu ya ujinga.
Bila lockdown kuna measures nyingine hua zinachukuliwa, sisi hatujafanya chochote. Hiyo nayo unaona ni akili.
Ujinga bado ni tatizo kubwa sana Tanzania. Ndio maana nchi masikini kama zetu haziwezi kuendelea kwa sababu makondoo bado ni wengi