Baadhi ya nchi zilizoweka lockdown na kisha baada ya kuondoa, visa vya Corona vimeongezeka kwa kasi, inatufundisha nini juu ya busara za Rais wetu?

Yaani umemaliza Kila kitu mkuu.
Mimi binafsi nimekuelewa Sana [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
Sent using LEAGOO M12
 
Teh teh teh.
Nimechemka Sana kwa hii comment yako mkuu.
Ni very obvious kwamba kuchukua tahadhari (staying alert) ndio njia sustainable, hii kufungiana ndani ni sawa na mtu kujibana usiharishe, utanbana weeeee, ila yakifika mahali pake lazima utaachia tu

Sent using LEAGOO M12
 
Nimekujibu hoja zote, sasa kuniambia umesoma moja tu inamaana umeshindwa kunipa hadhi ya kujadili na wewe kwenye meza moja, ahsante, naondoka.
 
Herd immunity itatuokoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…