Baadhi ya ndugu wa wapenzi wetu na Wakwe ndio chanzo cha mahusiano na ndoa kuvunjika

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,992
Reaction score
5,665
Baadhi ya ndugu na Wakwe wa wapenzi wetu ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika

Maisha ya mapenzi na ndoa ni swala la faragha kati mume na mke

Kawaida kwenye kuishi inatakiwa waishi wawili tu na watoto wao ili wawe na focus nzuri ya kujenga familia yao

Inapotokea watu wa pembeni kuanza kuingilia familia yao na hata kuamua kuishi katika familia yao

Focus inapotea, umahiri unapotea, wanandoa kukumbatiana inashindikana, wanafamili kujiachia wakiwa sebuleni inashindikana pia, wanafamilia kuzungumza kwa mahaba inashindikana kabisa na mwisho ndoa inakosa ladha na kuwa mbaya na ya kukera

Watu wapembeni waache tabia ya kwenda kuishi kwenye nyumba za wanandoa kwasababu wanaharibu mwelekeo wa familia

Binti anaolewa ndugu zake wanakwenda kumfwata kwa bwana na kwenda kuishi mara dada mara kaka mara shangazi! Wao washakuwa watu wazima waende kuishi kwa wapenzi wao waachane na ujinga wa kufwata fwata ndoa za watu na kwenda kuharibu umakini

Inafikia mahali mwanaume unashindwa kujua kwani ulioa watu wangapi manake upo na mke na dada zake pembeni mke ni yupi kwanini na wao wasitafute mabwana zao wakatulia huko

Ndugu anafuatilia mahusiano ya ndugu yake kama tamthilia ya Isidingo yeye mbona siri zake hamwelezi nduguye?

Kwakweli tabia hii inakera na kuudhi sana ndio maana ndoa zinakuwa chungu
Watu hawataki kwenda kutafuta wapenzi wao badala yake wanataka kujichomeka kwenye mahusiano ya ndugu zao

Wajinga sana hawa, kama wewe ni mwanaume timamu wajinga kama hawa unatakiwa kuwapiga bakora
 
Kuna mamdogo mmoja nuksi sana, daily anazua jambo, dawa yake inachemka ntamtoa nishai one day.
 
Kwa ndoa mpya kwakweli ni aibu kwenda kuwatembelea,lakini nyinyi wenye watoto tutakuja Tu mnataka kukumbatiana sebuleni ili iweje si muende chumbani!!
Njia vizuri ni kila mtu atafute mpenzi wake akae nae hata vitabu vya Muumba vimeagiza hivyo
 
Baadhi ya ndugu na Wakwe wa wapenzi wetu ndiyo chanzo cha ndoa kuvunjika

Maisha ya mapenzi na ndoa ni swala la faragha kati mume na mke

Kawaida kwenye kuishi inatakiwa waishi wawili tu na watoto wao ili wawe na focus nzuri ya kujenga familia yao

Inapotokea watu wa pembeni kuanza kuingilia familia yao na hata kuamua kuishi katika familia yao

Focus inapotea, umahiri unapotea, wanandoa kukumbatiana inashindikana, wanafamili kujiachia wakiwa sebuleni inashindikana pia, wanafamilia kuzungumza kwa mahaba inashindikana kabisa na mwisho ndoa inakosa ladha na kuwa mbaya na ya kukera

Watu wapembeni waache tabia ya kwenda kuishi kwenye nyumba za wanandoa kwasababu wanaharibu mwelekeo wa familia

Binti anaolewa ndugu zake wanakwenda kumfwata kwa bwana na kwenda kuishi mara dada mara kaka mara shangazi! Wao washakuwa watu wazima waende kuishi kwa wapenzi wao waachane na ujinga wa kufwata fwata ndoa za watu na kwenda kuharibu umakini

Inafikia mahali mwanaume unashindwa kujua kwani ulioa watu wangapi manake upo na mke na dada zake pembeni mke ni yupi kwanini na wao wasitafute mabwana zao wakatulia huko

Ndugu anafuatilia mahusiano ya ndugu yake kama tamthilia ya Isidingo yeye mbona siri zake hamwelezi nduguye?

Kwakweli tabia hii inakera na kuudhi sana ndio maana ndoa zinakuwa chungu
Watu hawataki kwenda kutafuta wapenzi wao badala yake wanataka kujichomeka kwenye mahusiano ya ndugu zao

Wajinga sana hawa, kama wewe ni mwanaume timamu wajinga kama hawa unatakiwa kuwapiga bakora
Umeoa mzaramo?
 
Back
Top Bottom