RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kijana au binti aside mwanafunzi anakaaje kwa Broo au dada bila kazi!!?
Kwenye ndoa wanapaswa wake watoto ambao wengi wao ni wanafunzi na wazee umri umeenda Ili kuwahudumia tu!!
Wenye nguvu,mawifi,vijana wakafanye KAZI na wakapange mageto watafute maisha!wanafunzi na wazee wasiojiweza wanaweza hudumiwa na huo ndio msingi na maana ya kujenga nyumba!!
Ndugu wengine waje kusalimia tu bhas na sio vinginevyo!!