Baadhi ya ndugu wa wapenzi wetu na Wakwe ndio chanzo cha mahusiano na ndoa kuvunjika

Kijana au binti aside mwanafunzi anakaaje kwa Broo au dada bila kazi!!?

Kwenye ndoa wanapaswa wake watoto ambao wengi wao ni wanafunzi na wazee umri umeenda Ili kuwahudumia tu!!

Wenye nguvu,mawifi,vijana wakafanye KAZI na wakapange mageto watafute maisha!wanafunzi na wazee wasiojiweza wanaweza hudumiwa na huo ndio msingi na maana ya kujenga nyumba!!

Ndugu wengine waje kusalimia tu bhas na sio vinginevyo!!
 
Hilo huwa ni bomu kwa mwanaume....kukaa na dada, mke na mama kwa pamoja akiwa serious na hawa watu watatu ataanza kuongea mwenyewe barabarani
Sasa kuna quadruple entente hiyo ya
1) Mama, 2) mke, 3) binti, 4) dada,
Hawa wote wanne ukae nao nyumba moja na kila mmoja ataka attention yako.

Utaweweseka hadi utavaa boksa kichwani.
 
Sasa kuna quadruple entente hiyo ya
1) Mama, 2) mke, 3) binti, 4) dada,
Hawa wote wanne ukae nao nyumba moja na kila mmoja ataka attention yako.

Utaweweseka hadi utavaa boksa kichwani.
Binti na baba hawanaga shida kubwa, shida hiyo pembe tatu.....
 
Wanaume pia punguzeni kusauriana na mama zenu kuhusu mambo ya familia yako, kimsingi unatakiwa kishauriana na mkeo
 
Sasa kuna quadruple entente hiyo ya
1) Mama, 2) mke, 3) binti, 4) dada,
Hawa wote wanne ukae nao nyumba moja na kila mmoja ataka attention yako.

Utaweweseka hadi utavaa boksa kichwani.
Hii ni tatizo, nyumba inakuwa ya moto ndo mana watu wengine wanakesha bar
 
Mkiwq kichwa maji hasa mke

Ndoa ni kugusa tu anaachika


Hii ni dhuruma kubwa sana kwa ndugu hasa wa mke

Mawifi nao hawako nyuma🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…