sam daniel
Member
- Feb 28, 2018
- 11
- 3
Mungu atakujalia! Amen.Nashukuru sana wakuu mmenipa moyo.
Asee asanteGreat
Lakini ni bora ukafanye upewe kidogo, kuliko kubaki unasubiri mtaji ambao bado hujui utaupata liniUnaweza kuwa sahihi, shida yangu ni pale unapotafuta mtaji kwa kupiga debe au kibarua cha kufyeka, malipo ya kazi hizo ni madogo sana, sasa ukiondoa matumizi yako ya lazima sijui unabaki na nini kwa ajili ya mtaji. Na hapo hatujazungumzia mtu mwenye familia.
Ninachokiona hapo, kama ni ki`gang`anizi sana basi utafauru kujitengenezea mtaji wa kuuza 'peremende' tu.
Historia haiishiwi wino.
Tukidhamilia, tunaweza, cha msingi ni utayari wa mtu mmoja mmoja kuanza mwishowe tutaona kwamba wale wengi walioathiliwa na mfumo wamepungua na kubadilika na ndio hatua itakuwa imepigwa.... Cha msingi hapa naona ni utayari wa kuanza na kuamini tunawezaMama Joe na Chasha, nimeipenda hii. Tunapaswa kubadilika ila naamini haya mabadiliko yatachuku muda kupatikana. Tayari mfumo wa maisha umesha waadhiri watanzania wengi. TUTASHINDA
Thanks, nimejifunza sanaThanks for the education. It has been so educational.