Ili kuondokana na tatizo la mtaji anza kidogo na uanze kukua.Mfano una maono ya kufungua bakery,anza na kuchoma maandazi huku ukiSave pesa na kukuza mtaji.Kidogo kidogo mwisho wa siku utafikia malengo yako!Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.
Historia haiishiwi wino.
Wapendwa, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ambao sasahivi nakaribia kuhitimu, hivo basi mara nyingi huwaga nawaza sana kuanza biashara ya bodaboda, kwa hiyo ningepnda mtu ambao akona experience ya hiyo biashara anieleze, je inanufaisha na challenges zake ni gani.
thanks
Kuajir watuWw ndo Utakuwa dereva uendeshe bodaboda yako au Unataka kuajiri mtu?
Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.
Historia haiishiwi wino.