Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,601
Hongera sana mku umefikisha hiyo 30 mambo kwa kufanya kazi au umekopa..tuanzie hapo kwanza..
Biashara zipo nyingi unaweza kununua mashine za kutengeneza vifungashio hii biashara ni uhakika haaitaji uchawi kwani vifungashio vinajiuza vyewewe havina msimu wala nini,ni kutengeneza na kuuza tu
Tengeneza mabwawa ya samaki hiii unawekeza pesa kwanza baada ya miezi 6 unaanza kuona matunda
Uchuuzi..nunua nafaka weka store unaanza kuuza,hapa unanunua za msimu yani unakwenda na fashion
Fanya hiyo hiyo iliyokupatia hizo milioni 30 au tafuta eneo ujenge guest house then utarudi kunishukuruSalaam,
Ningependa niende kwenye mada moja kwa moja.katika kupambana hapa na pale kutafuta mtaji nimeweza kufikisha kiasi cha milion 30 ambacho natafuta msaada wa mawazo ya biashara ambayo itakuwa inaingiza kuanzia laki moja kwa siku. Tafafhali mwenye wazo lolote naomba tusaidiane
Nenda china kafunga vifaa vya simAsante sana, hela hiyo sio ya mkopo nimedunduliza mwenyewe mpaka nimefika hapo. Hiyo biashara ya vifungashio unaweza kuilezea kidogo? Kwa mfano mashine yenyewe naiweza ipata wapi na ni kiasi gani?
Anzisha driving schoolUBARIKIWE ASEE NIPO KTK MOJA YA KAMPUNI INAYOJIHUSISHA NA MASWALA YA UDEREVA YANI ELIMU YA USALAMA BARABARANI NA MM NI INSTRUCTOR .... MKUFUNZI.... nimesoma vzur nimeelewa nanimependa mawazo yako ikiwa mm ujuzi wangu ndo huu kutoa elimu naweza nikaanzisha wazo gani lakuniingizia pesa kutokana na UJUZI HUU NLIO NAO plz ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app