Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Me nafkiri nguvu na mapambano ya MTU huja pale anapokuwa na imani na kulitaka wazo lake litimie owe kwa jasho au damu ...Na ukiona unachokitaka kiwe hakitawali ubongo wako na kukupa shida ujue namna gani utakitimiza ... Ujue burning desire haipo
Mtaji wa kwanza upo ndani yako.

👊 Mtazamo tusijenge chuki 👊
 
shukran
 
Naona mnamwaga nyuzi za maana sana. Nimekuwa kwa ajira kwa zaidi ya miaka kumi. Now nimeachana na ajira. Muziki ndio hobby yangu namba moja hapa chini ya jua. Naamini naujua vzr,nimejifunza kwa muda mrefu sana nikiwa ajirani.
Naziweka hobby zangu kwa scale of preference
1.music
2.kuuza nguo na viatu,hasa hasa viatu.
3.uzalishaji bidhaa mbalimbali hasa za mashuleni au ujenzi(now tumeshasajili brela na tra kwa kuzalisha chaki na gypsum product)
4.ku-export nafaka na bidhaa mbichi km vegetables.
5.uwakala/udalali wa bidhaa mbalimbali.
Just to mention a few.
Nimeamua kuvunja daraja la kuajiriwa,ili hapo mbele niwaajiri wenzangu.
Hapa nilipo nipo on bed,sina hata uhakika wa kupata mlo wa jioni.
LAKINI MOYONI NINA FURAHA.
I BELIEVE MIND SET IS THE NUMBER ONE CAPITAL.
Tuendelee kupeane challenge, ideas na yote yaliyo positive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani ndio kila kitu mkuu. Imani ni noma sana. Tatizo letu ni uoga,tunaamini kwa kuambiwa au kuaminishwa. Sio kuamini kutokana na nafsi(roho)inavyopenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hadi nisajili BRELA kwa ku-supply mchicha kwa mama ntilie. Are you kidding?
Ni muhimu sana kwa sasa. Huenda umeitafsiri biashara ya mchicha inayofanywa km wale kina mama wa pale ilala na buguruni. Unapoingia mkataba na ofisi kubwa kubwa brela na tra ni Jambo la mbolea sana. Usifikiri kwa kiwango cha chini,THINK BIG,START SMALL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu naona ushaanza swaga zako za kidini. Ukiufikiria utajiri kidini utapata tabu sana. Waweza tuelezea kuiba ni nini? Na ukatupa mfano wa namna tajiri anavyoiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakubal mkuu
 
HABARI.....?..
wanahitajika madalali tufanye biashara ya magodoro moja kwa moja kutoka kiwandani ,,na mchakato wao mkubwa utakuwa ni kuleta wateja wa jumla na reja reja,,, na watapata malipo kama kawaida punde wanapoleta mteja...
kwa mawasiliano zaidi 0692449416
 
mkuu umeongea point sana tena unakuta kijana vitu anavyomiliki ghetto kwake ni mitaji tosha ukianzia na simu tu unakuta kijana anampaka chandarua ya mmbu ya kupandisha na remont Chandarua ambacho hata MO hana ni ufinyu wa mawazo tu mkuu
 
Nashukuru sana Mr Chasha na wanajamii wengine mada zinazotolewa humu kiukweli zinanipanua sana kimawazo.
 
Nikweli hasa unapokuwa nashughuli ambayo kipatochake kidogo hakikidhi mahitaji na umeiona fulsa nyingine unapata kugugumizi kuiacha kazi ya kwanza na kuanza nyingine na wateja hawajakuzoea lazima kipato kinaweza simama kwa muda ambao ni mgeni kwenye mradi huu mpya wakati huo mahitaji ya familia yanahitajika kila siku hasa kwa wenye familia.Hili linanihusu wanajamii nashindwa cha kufanya sina mtaji ambao naweza kuugawa nikaanzisha shughuli nyingine maana shughuli zangu ni zaufundi mambo ni magumu Sana.NAOMBA USHAURI WENU WADAU
 
MMASAI OG FASHION SHOES
Ni wauzaji wa simple slippers kali za kimasai kwa bei ya kiwandani jumla na rejareja
Reja reja ni shilingi 7000 tu
Jumla ni shilingi 5000 tu
Tunapatikana Mwenge Dar Es salaam
Mikoani pia Tunatuma bila wasiwasi
Wasiliana nasi text/call/whatsap 0672904720
Karibun sana.....
 

Attachments

  • 366304_sapromasai-slipperz-20200706-200700-1_1080x1350.jpg
    144.2 KB · Views: 50
  • images (19).jpeg
    24.1 KB · Views: 49
  • images (8).jpeg
    20.5 KB · Views: 49
  • IMG-20200623-WA0015.jpg
    47.6 KB · Views: 49
G.P.S (KING'AMUZI) CHA MAGARI PIKIPIKI

Habari wana Jamii Forum

Ninatangaza kampuni yenu ya KITAU MOTOR GPS ( @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour ) inayojihusisha na biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.

Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji magari umekithiri kama biashara yenyewe.

Kama KITAU TRANSPORT tunakupa huduma ya GPS kwenye chombo chako. Kwa kutumia GPS yetu utaweza kufatilia mwenendo wa kifaa/vifaa vyako vya moto masaa 24 kwenye simu yako.
View attachment 1508184

Utaweza ona:

Location (mahali chombo kilipo)
Displacement (Mwendo na mwelekeo wa chombo chako kama kina tembea)
Geo frencing (Kama kimetoka eneo unalohitaji kiwepo)
GPS zetu ni water proof. Unaweza tumia wakati wa mvua bila wasiwsi wa kuingia maji au kuharibia.

Malipo ni shillingi Elfu kumi kwa mwezi (10,000 TSh) kwa bajaji na Pikipiki na Elfu Kumi na Tano (15,000 Tsh) kwa magari ya aina yoyote.

Kwa mwezi wa kwanza kuna malipo ya shillingi Elfu kumi na tano (15,000) kwa ajili ya usajiri.
Malipo yote yatafanyika baada ya kukufungia gps yako.

Tunapatika Dar-es-Slaam kwa number zifuatazo.

+255 754 711 783


Unaweza kutufuata na ku like kwenye page yetu ya facebook @https://web.facebook.com/KITAUMOTOR/?modal=admin_todo_tour
 
Vijana wengi sio waaminifi hata kidogo ndio kinachofanya kufeli kwenye maisha unapewa pesa kidogo unaiba ukipewa ndoo kubwa imejaa $100 tupu itakuwaje..

Mimi nilianza biashara Miaka 10 iliyopita nilikuwa sina mtaji wowote ule nilianza kuwa dalali lakini sasa hivi namshukuru Sana Mungu tena sana kwa kuniongoza mpaka leo hii sijui kula pesa au mali ya mtu na kitu UAMINIFU ndio jeuri yangu hapa Duniani .

Kwa UAMINIFU na UKWELI tu nimeweza kujenga nyumba zangu mwenyewe sio chini ya 2 viwanja zaidi ya 10 na sasa hivi namshukuru Mungu maisha yangu yanakwenda vizuri sana kwasababu UAMINIFU ndio unafanya kila siku nafanya biashara na watu wa aina tofauti tofauti ..

Napenda tu kuwashauri UAMINIFU ndio mtaji tosha hakuna kingine utapata kazi mpaka mwenyewe utakuwa unaziacha nyingine unaona kero
 
Waheshimiwa naomba msaada wa mawazo naitaji ni jaribu ku agiza vitu kama memory /flash na piya biashara ya nguo kutoka nnje ni fanyeje kwa mtaji mdogo.

Pia, nitumie soko lipi na hatua zipi mpaka mzigo unifikie na mimi ni faidike nao mzigo naomba msaada wa uzoefu wenu na mimi ni nufaike asanteni.

Naomba nipate msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…