Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Kama unataka kujaribu utafeli, Fanya kweli weka akili yako hapo halafu funguka una mtaji kiasi gani wew uko wapi na vpi unataka kusimamia mwenyew au utamwachia mtu? Subir michango mingine
Biashara ilio nikaa sana kichwani ni ku nunua vitu kama nguo au vitu vyenye faida apa nchini kwenye mitandao ya china ila sija fahamu ni mtandao gani nitumie yenye vitu nafuu na vya uhakika na process yaku fanya mpaka bidhaa ini fikie mkuu.
asante
 
Umesomeka mkuu, Mawazo ya biashara yapo mengi kama ulivyojaribu kuonesha, shida yetu kuu ni mitaji ya uhakika.

Historia haiishiwi wino.
Dah! Nikisoma vitu hivi nafurai sana kufunguka kiakili ila pia, naburudika na hizi thread Jf, napambana kama kijana na Fursa nazoziona . Long live Jf Fam, .
 
wamama wengi wamekuwa wakifanya biashara yakijungu jiko yaani hio faida ndo inaendasha maisha na pia unakuta hawana elimu ya biashara bhasi dohhh inakuwa shida naendelea.
 
Habari wanajamvi....?
Hii ni habari njema kwa wafanya biashara wenye maduka makubwa,kati na madogo yenye uhitaji,,,,
Kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunapenda kuwataarifu kuwa tunawakaribisha ili muweze kununua software system kwa gharama rafiki ambayo itaweza kukusaidia kufanya record ya mahesabu kwenye mauzo ya duka lako pasipo na usumbufu na kuweza kukupa mahesabu sahihi ya stock yako iliyopo kwenye duka lako ,yaani itakusaidia kujua total ya mauzo yaliyofanyika kwa siku na pia inakuwezesha kujua stock iliyobakia kupitia computer yako iliyopo ofisini vile vile tunaweza kukuunganisha direct kupitia smart phone yako...
PoS system ni program yenye ubora zaidi na ni program rafiki kwa mfanya biashara kujua stock ya biashara yako kwa ujumla ..

nachukua fursa hii kuwakaribisha sana
kwa mawasiliamo zaidi piga 0692449416
 
Hii program inaweza faa kwa kiwanda kidogo kujua kiwango cha raw materials purchased, unfinished goods, finished goods, amount expectancy, goods rejected etc?
 
hapana mkuu,,haiwezi kufanya kazi apo...hii ni only buy of goods and selling of goods purely business not production and business

karibu sana...
0692449416
 
Aseee bro umenikosha Sana Kwa hiii comment yako natamani Sana kufanya jambo kama hili View attachment 1601830
 
madini
madini
 
Umenigusa sana
 
Nini nifanye ili niweze pata wateja (mimi ni boda boda)
Nitakupa mbinu kwa kifupi, ila zinaweza chukua muda kidogo.

1. Zingatia MAHUSIANO ya kikazi na mteja,hapa kuna vitu kama kumuheshimu na matumizi ya lugha;epuka mijadala chonganishi hata kama anaanzisha mteja,topics kama za siasa,dini na mpira zipige kiasi kama mteja kakubana(UTAEPUKA KUUMIZA HISIA ZAKE),usiongelee watu ongelea vitu, usije ukapiga story kuhusu mambo kama umalaya wa baadhi ya wateja au kuwa unatoa siri ili mteja asihisi hata zake unaweza kuzitoa.

2. Zingatia MAWASILIANO na mteja,unapomfikisha mteja wako jitambulishe kwa jina moja,kisha mwombe namba ya simu na jina kwa ajili ya kumpatia usafiri wakati mwingine,hasa kama mteja ni wa maeneo ya mara kwa mara ya route zako, hasa wa distance fupi wawe wengi,ili uweze kuwa unafanya route za chap chap-fupi nyingi.
***Katika mawasiliano,wakati mwingine piga simu kumsalimia mteja,na kumkumbusha kama atahitaji usafiri(ongelea kazi tu) ilo umpelekee huduma.

3. Kuwa SMART, mavazi yawe safi na chombo pia kiwe kisafi, toa offer kijanja pia.

4. Ingawa inahusiana na mawasiliano lakini hili tuliweke lijitegemee, toa OFFER kijanja kama sehemu unajua pesa ya chini unayoweza kukubali kulipwa kwa kwenda sehemu, mkikubaliana bei ukimfikisha,jifanye kama vile umempa OFFER ya punguzo, mfano mlikubaliana bei mpaka anapokwenda ni 5000,lakini unajua 4000 inatosha,mpe chenchi hiyo 1000 mwambie ni offer kwake kwa kuwa ni mara ya kwanza kumpatia huduma ya usafiri...(HII ITAFANYA DAIMA AKUKUMBUKE) kila akiwaza usafiri wa boda boda.
***imagine ukiweza kuwa na wateja 10 wa shilingi 4000 kila siku, na unaweza kujitahidi ukawabalance wengine wa elfu sita na wengine elfu 10.
Example wa 2000 × 4 wanne= 3000
wa 4000× 3 watatu= 12000
wa 5000×3 watatu= 15000
TOTAL =57,000 kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…