britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
vyote viwili lakin tuwe wakwweli watanzania na wasanii wengi wa kisasa hawajali ishu ya maadiliMbona ni hoja mbili tofauti?
Kwahiyo issue ni kodi au maadili?
Mbona kama chuki ya kibaguzi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyote viwili lakin tuwe wakwweli watanzania na wasanii wengi wa kisasa hawajali ishu ya maadiliMbona ni hoja mbili tofauti?
Kwahiyo issue ni kodi au maadili?
Mbona kama chuki ya kibaguzi tu?
Bila shaka. Lakini tatizo linakuja HAWA mabwana namna walivyopangilia hoja zao, ukiangalia Na kampeni ya kuwasapoti wana muziki wao tu, ndo halo linapokuja jibu kwamba hawana shida na maadili Bali ni ubaguzi wa ki utaifa tu.vyote viwili lakin tuwe wakwweli watanzania na wasanii wengi wa kisasa hawajali ishu ya maadili
kabisa maana kama maadili hata kenya hawana hebu angalia ngoma hiiBila shaka. Lakini tatizo linakuja HAWA mabwana namna walivyopangilia hoja zao, ukiangalia Na kampeni ya kuwasapoti wana muziki wao tu, ndo halo linapokuja jibu kwamba hawana shida na maadili Bali ni ubaguzi wa ki utaifa tu.
Fuatilia vizuri sio unapanickAliyeandika hapa ni mtu wa serikali yao au ni hawa vilaza wa Mitandaoni? Kodi hailipiki kivipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo la kodi hata mimi sijalielewa' hivi kuna nyimbo zina matusi kama za ulaya? au tatizo lugha ndiyo viongozi wetu hawajui kuwa nyimbo hizo zinaimba matusi
Millard ayo appNa mimi nakazia hapo hapo!![emoji848][emoji848][emoji848]
Msambwanda kwa buku jeroJamaa anaimba matusi mahali pasipokuwa na ulazima wakuimba nilikuwa naisubiri hii nyimbo yao walioifanya na burna boy kuja kusikiliza alichoimba diamond niliwaza huyu jamaa aliwaza nini mana ni matusi ya hadharani kabisa anaimba
[emoji848][emoji848][emoji848]asanteHabari yenyewe haina correlation ya ideas ipo ipo kama kaandika mwanafunzi wa Sunday school mbona kapika mseto wa habari mara nyimbo matusi mara alipi kodi mara corrupt mara ngwangwaru,apunguze jazba akae chini aandike vizuri. Pumb[emoji524]vu
Sasa wakenya wanataka kucheza pool table wakiwa wamesimama!
Watajijua....si wengine tunaskiliza ngumu,maconcious
Hao wa Bana pua watajuana huko
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu kasome tena ,tena ndio utaelewa zimepigwa banned mashuleni na si kwenye radio station na wala kwenye show za watu wazima ,kama kubanned wangezifungia nyimbo za kiingereza sababu kenya majority wanaongea kingereza na kiswahili kuanzia chokoraaa mpaka watoto wa uswazi,lakini bado nyimbo za hip hop ambazo zina matusi kibao lkn zinagongwa kama kawa ,hebu kasome hizi habari umsikilize afisa wa KFCB .Baadhi ya nyimbo za wasafi zapigwa marufuku kupigwa katika station nchini kenya, Nyimbo hizo ni zile zenye maudhui na maneno ya matusi. na pia kudai baadhi ya wasanii wanaoingia nchini humu hawalipi kodi kwa kuwa hufanya malipo kutokea nchi walizomo na kuinyima serikali ya kenya kukosa mapato.
Unajua tusi tamu kwa kingereza haha eti mother https://jamii.app/JFUserGuide, nakumbuka kwenye track ya P.I.M.P fifty kuna sehem anasema your mother https://jamii.app/JFUserGuide P.I.M.P,Utakuta za kimarekani zinazoimba fukc fukc zinaruhusiwa,akili ya mtu mweusi anaijua mwenyewe..
Sina hakikaHapa kinachoendelea ni wakenya wanajaribu kulinda soko la mziki wao tu hamna kingine!
Sent using Jamii Forums mobile app