Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Hii ni kampeni ya PLAY KE MUSIC.Wala sio suala la matusi maana NYANSHISKI mwenyewe ni muimba matusi mzuri tu.
 
vyote viwili lakin tuwe wakwweli watanzania na wasanii wengi wa kisasa hawajali ishu ya maadili
Bila shaka. Lakini tatizo linakuja HAWA mabwana namna walivyopangilia hoja zao, ukiangalia Na kampeni ya kuwasapoti wana muziki wao tu, ndo halo linapokuja jibu kwamba hawana shida na maadili Bali ni ubaguzi wa ki utaifa tu.
 
Bila shaka. Lakini tatizo linakuja HAWA mabwana namna walivyopangilia hoja zao, ukiangalia Na kampeni ya kuwasapoti wana muziki wao tu, ndo halo linapokuja jibu kwamba hawana shida na maadili Bali ni ubaguzi wa ki utaifa tu.
kabisa maana kama maadili hata kenya hawana hebu angalia ngoma hii

 
Habari yenyewe haina correlation ya ideas ipo ipo kama kaandika mwanafunzi wa Sunday school mbona kapika mseto wa habari mara nyimbo matusi mara alipi kodi mara corrupt mara ngwangwaru,apunguze jazba akae chini aandike vizuri. Pumb[emoji524]vu
[emoji848][emoji848][emoji848]asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WASAFI wanao wasanii wanajua kuimba ila kwa sasa wamekua wakala wa shetani kwa nyimbo zao kuhamasisha vitendo vya usodoma. Wabadilike
 
Baadhi ya nyimbo za wasafi zapigwa marufuku kupigwa katika station nchini kenya, Nyimbo hizo ni zile zenye maudhui na maneno ya matusi. na pia kudai baadhi ya wasanii wanaoingia nchini humu hawalipi kodi kwa kuwa hufanya malipo kutokea nchi walizomo na kuinyima serikali ya kenya kukosa mapato.
Hebu kasome tena ,tena ndio utaelewa zimepigwa banned mashuleni na si kwenye radio station na wala kwenye show za watu wazima ,kama kubanned wangezifungia nyimbo za kiingereza sababu kenya majority wanaongea kingereza na kiswahili kuanzia chokoraaa mpaka watoto wa uswazi,lakini bado nyimbo za hip hop ambazo zina matusi kibao lkn zinagongwa kama kawa ,hebu kasome hizi habari umsikilize afisa wa KFCB .

Diamond's Hit Song Banned From Kenyan Schools

Kenya now bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ from schools

Kenya bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ in schools – Sqoop – Its deep

Kenya bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ in schools | Uganda Press REVIEW®

Uganda Online - Harmonize and Diamond Platnumz's Kwangwaru song banned in Kenyan schools

Hamna nyimbo ya WASAFI iliyozuiwa kupigwa kwenye radio.
 
Tatizo watu ujiongeza sana, kwangu sijaona tusi lolote
Neno moja la fasihi uweza namaana nyingi kutegemeana na uelewa wako.
 
Utakuta za kimarekani zinazoimba fukc fukc zinaruhusiwa,akili ya mtu mweusi anaijua mwenyewe..
Unajua tusi tamu kwa kingereza haha eti mother https://jamii.app/JFUserGuide, nakumbuka kwenye track ya P.I.M.P fifty kuna sehem anasema your mother https://jamii.app/JFUserGuide P.I.M.P,
 
Back
Top Bottom