Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

haaahaaa
 
😀😀 ila binafsi wamenichekesha sanaa unajua ktk karne hii swala la kumaintain maadili kwa watoto ni changamoto sanaaaa maana technolojia imekuwa kubwaaaa
 
Mutua ameshawapata watu aina yako kwa sababu kila mwenye kutumia ubongo wake sawasawa, anajua suala hapa sio maadili! Hivi nchi inayoonesha hadi filamu za usagaji kwenye cinemas, ni unafiki ulioje useme nyimbo kama Kwangwaru haina maadili?!
Kwa Kenya wanasema maadili na kukwepa kodi. Nami nikaongeza kuwa ni kweli maudhui hayana maadili. Sijajua sijatumiaje ubongo hapo. Au labda uwe umeamua kuendelea kukosa maadili kwa kunitukana kuwa ubongo haujatumika.
 
😀😀 ila binafsi wamenichekesha sanaa unajua ktk karne hii swala la kumaintain maadili kwa watoto ni changamoto sanaaaa maana technolojia imekuwa kubwaaaa
Ndo wanapambana na hii changamoto ndugu. Au ulitaka kusema kuwa iachwe tu
 
sizani kama umenielewa.... ivi unafungia nyimbo ambayo inafanya tu watu wa dance tena hayo wanayoita matusi wala hayapo straight ni lugha tu imetafsiriwa vibaya ILA wana achia majimbo ya akina minaj ambayo hayo yana matusi direct hata picha za video zipo so nude HUO NI UJINGAAAA
 
Kwa Kenya wanasema maadili na kukwepa kodi. Nami nikaongeza kuwa ni kweli maudhui hayana maadili. Sijajua sijatumiaje ubongo hapo. Au labda uwe umeamua kuendelea kukosa maadili kwa kunitukana kuwa ubongo haujatumika.
Kwa sababu madai ya Mutua hayana mantiki yoyote, na alichosema ni kisingizio tu cha kutaka kuungwa mkono na wale wanaojifanya wana maadili! Kwanza, anadai nyimbo zilizofungiwa kwenye nchi husika, hazitachezwa Kenya! Tanzania haijafungia Kwangwaru bali iliifungia Mwanza/Nyegezi. Wakati Mwanza/Nyegezi inafungiwa, Mutua huyo huyo hivi ndivyo alisema:- Ezekiel Mutua ananukuriwa akisema: For more, visit here:

Same news ilikuwa reported na media nyingi hapa kuonesha hao jamaa hapo juu didn't make up the story!

Now tell me. Wakati akina Diamond wanafungiwa kutokana na kupiga Nyegezi, Ezikiel Mutua alisema hizo sheria zina-aply Tanzania na sio Kenya! Na kweli, Diamond aliendelea na show yake kule Kenya wakati BASATA ilimfungia ku-perform popote pale! Leo hii, Mutua yule yule anaibuka na kuifungia Kwangwalu, wimbo ambao unakaribia mwaka sasa!!

Narudia, Ezekiel Mutua ametumia kigezo cha maadili kupata support kutoka kwa watu wa aina yako! Ukweli ndo ule ule ambao niliusema awali! Wakenya inawauma sana kuona Bongo Flavor ina-dominate Kenya kiasi kwamba wakaamua kuanzisha kampeni ya:

Na huu wivu wa Kenya ulianza pale ambapo:-

Ni baada ya Diamond kulamba KSH 5 Million huku Ali Kiba akilamba KSH 3 Million kwenye show moja huko Mombasa! Wakati Kiba na Diamond tu walirudisha Tanzania KSH 8 Million, ambazo ni zaidi ya TZS 160 Million, hakuna msanii hata mmoja wa Kenya ambae aliambulia angalau KSH 1 Million!!!

Tangu hapo, Wakenya wakaanzisha figisu figisu! And of course, kwa sasa nyimbo za Tanzania zinachezwa kwa uchache sana nchini Kenya!!

Kwahiyo, hizo ndo sababu lakini mengin yote ni porojo tu!
 
😀😀 ila binafsi wamenichekesha sanaa unajua ktk karne hii swala la kumaintain maadili kwa watoto ni changamoto sanaaaa maana technolojia imekuwa kubwaaaa
Ndo niliwakuta Wakenya wakijadili hii mambo, wenyewe wanasema mwacheni tu huyo Mutua afungie hizo nyimbo na wawe wanapiga Kenyan music pake yake lakini wao source yao ni Youtube!!!
 
Well, naheshimu sana mawazo yako na umejenga hoja yako vizuri kuwa kuna tatizo LA mpambano wa kibiashara kati ya bongo na Kenya. Sina shida na hiyo, ila binafsi naamini kuwa Diamond anaweza kuwa bora zaidi kwa kujitahidi kuimba yasiyo na viashiria vya uvunjifu wa maadili kama ilivyo sasa kwa baadhi yetu. My humble opinion
 
Ndo niliwakuta Wakenya wakijadili hii mambo, wenyewe wanasema mwacheni tu huyo Mutua afungie hizo nyimbo na wawe wanapiga Kenyan music pake yake lakini wao source yao ni Youtube!!!

Kuna wasanii wa kenya inawauma sana a kuona wasanii toka Tz wanapata platform na wanapendwaa ...
 
Tetema ina addiction kwa watoto

Wanaipenda sana,wasiisikilize
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…