Kwa sababu madai ya Mutua hayana mantiki yoyote, na alichosema ni kisingizio tu cha kutaka kuungwa mkono na wale wanaojifanya wana maadili! Kwanza, anadai nyimbo zilizofungiwa kwenye nchi husika, hazitachezwa Kenya! Tanzania haijafungia Kwangwaru bali iliifungia Mwanza/Nyegezi. Wakati Mwanza/Nyegezi inafungiwa, Mutua huyo huyo hivi ndivyo alisema:-Ezekiel Mutua ananukuriwa akisema: For more, visit
here:
Same news ilikuwa reported na media nyingi
hapa kuonesha hao jamaa hapo juu didn't make up the story!
Now tell me. Wakati akina Diamond wanafungiwa kutokana na kupiga Nyegezi, Ezikiel Mutua alisema hizo sheria zina-aply Tanzania na sio Kenya! Na kweli, Diamond aliendelea na show yake kule Kenya wakati BASATA ilimfungia ku-perform popote pale! Leo hii, Mutua yule yule anaibuka na kuifungia Kwangwalu, wimbo ambao unakaribia mwaka sasa!!
Narudia, Ezekiel Mutua ametumia kigezo cha maadili kupata support kutoka kwa watu wa aina yako! Ukweli ndo ule ule ambao niliusema awali! Wakenya inawauma sana kuona Bongo Flavor ina-dominate Kenya kiasi kwamba wakaamua kuanzisha kampeni ya:
View attachment 1049981
Na huu wivu wa Kenya ulianza pale ambapo:-
View attachment 1049990
Ni baada ya Diamond kulamba KSH 5 Million huku Ali Kiba akilamba KSH 3 Million kwenye show moja huko Mombasa! Wakati Kiba na Diamond tu walirudisha Tanzania TSH 8 Million, ambazo ni zaidi ya TZS 160 Million, hakuna msanii hata mmoja wa Kenya ambae aliambulia angalau KSH 1 Million!!!
Tangu hapo, Wakenya wakaanzisha figisu figisu! And of course, kwa sasa nyimbo za Tanzania zinachezwa kwa uchache sana nchini Kenya!!
Kwahiyo, hizo ndo sababu lakini mengin yote ni porojo tu!
Lakini wakati wanataka kuaminisha watu kwamba Kwangwaru haina maadili, upande wa pili,