The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Asilimia 90 ya nyimbo za marekani in matusi kwa tafsir hiyo ,hebu kaziskize nyimbo hizi za 1970 nyama ya bats itamuuu nyama ya ,bataaa...msanii anachotakiwa mafumbo ,ukisema kuna mtoto anaelewa tafsiri ya bby papa jusi nisafishe mtaro ...huyo mtu mzimaWamfungie maisha kabisa kila wimbo Domo chapati lazima atukane , hataa huu mpya mitusi kibao , nenda Kwa Mbosso , Lava lava utachoka .
Wachafu baby bila kuimba mitusi itakufa
Sent using Jamii Forums mobile app