Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Wamfungie maisha kabisa kila wimbo Domo chapati lazima atukane , hataa huu mpya mitusi kibao , nenda Kwa Mbosso , Lava lava utachoka .

Wachafu baby bila kuimba mitusi itakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Asilimia 90 ya nyimbo za marekani in matusi kwa tafsir hiyo ,hebu kaziskize nyimbo hizi za 1970 nyama ya bats itamuuu nyama ya ,bataaa...msanii anachotakiwa mafumbo ,ukisema kuna mtoto anaelewa tafsiri ya bby papa jusi nisafishe mtaro ...huyo mtu mzima
 
mwacheni mond atazidi kuisha maana kwa sasa naona ana kosa nuru kabisa
 
Naona hata tunachobishania hapa hakieleweki. Nimekuwekea story kutoka kwa mtandao wa kwanza kupost habari hiyo Kenya, huitaki unataka link yako!
Link sIo yangu,link NI ya mtandao wa Kenya.Alafu umejuaje kama huo mtandao ndio wa kwanza kupost HIYO HABARI,mbona unahamisha magoli.Huoni hizo quote ,hujui zina maanisha nini ?Habari hata ipostiwe mara elfu moja lkn zote zitakuwa sawa kwenye funga na fungua semi.Unabisha bisha ili mradi uonekane unabisha.
 
mkuu nilikuwa juzi nairobi kilichokatazwa mi mashuleni ila club,jukwaan zinapigwa mbona 40 per ya nyimbo Kenya ni american lakini hazizuiliwi na zinamatusi ya kufuru
 
kwani kuna nyimbo huwa zinapigwa mashuleni? Au wenzetu mitaala yao ni tofauti
 
Hajui anachokiongea ,alafu wenzetu watoto wa uswahili mpaka machokoraa wanajua Kingereza na nyimbo za mbele zina matusi lukuki.
 
kwani kuna nyimbo huwa zinapigwa mashuleni? Au wenzetu mitaala yao ni tofauti
Kenya kuna disco za watoto,mashuleni wana talent day watoto wanaperform ,wanacheza etc kwa bongo ni shule za kishua ,ila si unajua uchumi wao uko juu so watoto wanaenjoy vimaisha flani
 
Link sIo yangu,link NI ya mtandao wa Kenya.Alafu umejuaje kama huo mtandao ndio wa kwanza kupost HIYO HABARI,mbona unahamisha magoli.Huoni hizo quote ,hujui zina maanisha nini ?Habari hata ipostiwe mara elfu moja lkn zote zitakuwa sawa kwenye funga na fungua semi.Unabisha bisha ili mradi uonekane unabisha.

We jamaa bana, basi tufanye hivi, nimekosea, aliyefungiwa ni Ali Kiba na wimbo wake wa Kadogo siyo Diamond! Bila shaka roho yako imesuuzika sasa.
 
BONGO5 ni source ya uhakika,alafu Kenya hawawezi kufungia sababu kenya lugha mbili ndizo zinatumika English na Kiswahili ,ukisema watumie reference ya nyimbo basi nyimbo za wasanii wote wa US zitafungiwa na wote hawatafanya show Kenya.Nilichokielewa mimi kwanza wanataka kulinda utamaduni wao,pili wameweka kodi kubwa kwa wasanii wa nje ili kulinda wasanii wa ndani.Mbona BBC swahili tunafsiriwa kwa hiyo ina maana wanaoangalia BBC swahili hawataki kuumiza kichwa.
Wamefungiwa na kufanya show kasome taarifa yao au nenda kwenye gazeti lao la Nation Daily ukasome usiwe unasomewa nenda kwenye source yenyewe kikubwa alichosema msanii yoyote aliyefungiwa kufanya tamasha kwenye nchi yake hataruhusiwa kufanya tamasha Kenya au nyimbo zake zilifungiwa..
 
We jamaa bana, basi tufanye hivi, nimekosea, aliyefungiwa ni Ali Kiba na wimbo wake wa Kadogo siyo Diamond! Bila shaka roho yako imesuuzika sasa.
Sasa kadogo imefuata ninii,tudiscuss contents kilichozungumzwa.Hivi unajua kenya kuanzia machoraa ,mpaka watoto wa uswahili wanaongea kingereza,waache kuzifungia nyimbo za US na matamasha yao wamfungie Diamond na nyimbo za US hasa hip hop 90% matusi matupu.
 
Wamefungiwa na kufanya show kasome taarifa yao au nenda kwenye gazeti lao la Nation Daily ukasome usiwe unasomewa nenda kwenye source yenyewe kikubwa alichosema msanii yoyote aliyefungiwa kufanya tamasha kwenye nchi yake hataruhusiwa kufanya tamasha Kenya au nyimbo zake zilifungiwa..
Habari hata iandikwe mara 1000,lakini kwenye quote hizo hazibadiliki na wewe kasome mtandao huu hapa.
Kenya now bans Diamond’s ‘Kwangwaru’ in schools
 
Sasa kadogo imefuata mimi,tudiscuss contents kilichozungumzwa.Hivi unajua kenya kuanzia machoraa ,mpaka watoto wa uswahili wanaongea kingereza,waache kuzifungia nyimbo za US na matamasha yao wamfungie Diamond na nyimbo za US hasa hip hop 90% matusi matupu.
Si ndiyo maana to cut a long story short nimekwambia hajafungiwa wala hakuna nyimbo zake zilizofungiwa, kwa nini afungiwe wakati wanaimbamatusi wengi tu, kama Ali Kiba!
 
Wamefungiwa na kufanya show kasome taarifa yao au nenda kwenye gazeti lao la Nation Daily ukasome usiwe unasomewa nenda kwenye source yenyewe kikubwa alichosema msanii yoyote aliyefungiwa kufanya tamasha kwenye nchi yake hataruhusiwa kufanya tamasha Kenya au nyimbo zake zilifungiwa..
Ahsante Mkuu maana kuna team Mond hao hata uwaambie nini, midomo inawawasha kutukana tu kumtetea bosi wao, hawaambiwi wala hawasikii na hawa ndiyo wanaomjaza ujinga.
 
Si ndiyo maana to cut a long story short nimekwambia hajafungiwa wala hakuna nyimbo zake zilizofungiwa, kwa nini afungiwe wakati wanaimbamatusi wengi tu, kama Ali Kiba!
Kiba kafuata nini,wewe si ulisema mimi upper head sipo vizuri,nimekuletea contents una hamisha magoli,mjadala wetu ujikite katika contents husika na si Kiba wala Kadogo.
 
Naona kama tunapoteza muda tu, habari inasema Diamond, Harmonize wamefungiwa, na wimbo wao Kwangaru umefungiwa, wewe unasema hawajafungiwa. Tutabishana mpaka kesho, baki na ulichokielewa.
 
Wamefungiwa na kufanya show kasome taarifa yao au nenda kwenye gazeti lao la Nation Daily ukasome usiwe unasomewa nenda kwenye source yenyewe kikubwa alichosema msanii yoyote aliyefungiwa kufanya tamasha kwenye nchi yake hataruhusiwa kufanya tamasha Kenya au nyimbo zake zilifungiwa..
Youtube channel ya Daily Nation msikilize kwa huyo kiongozi wa KFCB alafu niambie sehemu gani amesema amampiga ban Diamond kufanya show Kenya.
 
Back
Top Bottom