Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Mahaba hupofusha macho mkuu, kama unadhani una hoja za kuwashawishi mods wakubaliane na wewe, washauri wabadili headline ili usiendelee kuchefukwa na huu uzi! It was nice to argue with you!
 
Ooh! Kumbe wewe ni wa jinsia pendwa! Heshima yako mkuu, nimekuelewa vizuri sana ulichokisema na nafuta hoja zote.
Sijui kama ni dharau au vipi ila najivunia jinsia yangu,naelewa kwa ufasaha lugha ya kiingereza!!

Kwa hapa umetudanganya mkuu[emoji3]..Diamond na harmonize wamefungiwa kuperfom nyimbo ya kwangaru Nyegezi Kenya!!sio kwamba Diamond amefungiwa kufanya shughuli za mziki nchini Kenya kama unavyotaka tukuamini[emoji1]

Siku nyingine usitafsiri neno moja moja kwenye sentensi ya Kiingereza utageuka kituko kama hivi[emoji23][emoji23]

Inaamana bloggers wote hawajaelewa alichosema Mutua ila umeelewa wewe tu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahaba hupofusha macho mkuu, kama unadhani una hoja za kuwashawishi mods wakubaliane na wewe, washauri wabadili headline ili usiendelee kuchefukwa na huu uzi! It was nice to argue with you!
Nichefukwe na hoja nyepesi kama hii.Sasa mimi na wewe nani kipofu nimekupa reference zaidi ya nne zote zinaongea kitu kile kile nilichokiandika,sasa sijajua mimi na wewe nani kipofu.
 
CHADEMA wanahusika kama siyo CLOUDS FM
 
Nichefukwe na hoja nyepesi kama hii.Sasa mimi na wewe nani kipofu nimekupa reference zaidi ya nne zote zinaongea kitu kile kile nilichokiandika,sasa sijajua mimi na wewe nani kipofu.
Sawa mkuu tukubaliane katika kutokukubaliana kwamba mimi ni kipofu na wewe upo sahihi. hapo vipi!
 
Mkuu basi yaishe bwana, ujue mi huwa napenda sana kubadilishana mawazo na nyie ndugu zangu. Nakuja PM kwako nikiwa na nia njema kabisa, tafadhali nipokee kwa mikono miwili ili unidadavulie zaidi kuhusu hii ishu ya Mond πŸ˜€
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Now days mpaka huwa najisikia huzuni --- huwa nakutana na watoto wanaoziimba hizo nyimbo mpaka nastaajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Yaani acha mkuu, nilivikuta vitoto vidogoo vikiimba huo wimbo wa mwanza tena wanaweka msisitizo, aibu nikaona mimi maana sidhani hata kama vyenyewe vinaelewa maana yake[emoji134]
 
Wivu tu.. mbona nyimbo za wasanii wa Kenya zina matusi ya waziwazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…