Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Mimi ni panic kwa hoja nyepesi kama hii ,ambayo ukiingia google hata dk 2 umalizi ushapata refence.Kichwa chako cha habari na content yako inasemaje? Kwangwaru yafungiwa au Diamond platnumz afungiwa kuperform Kenya.

Kwa hiyo kwa kuwa nakupinga (sababu na source za uhakika ninazo) ndio inanifanya mimi kuwa shabiki mzuri wa Diamond.Vipi wewe je ni adui wake Diamond platnumz.
Mahaba hupofusha macho mkuu, kama unadhani una hoja za kuwashawishi mods wakubaliane na wewe, washauri wabadili headline ili usiendelee kuchefukwa na huu uzi! It was nice to argue with you!
 
Ooh! Kumbe wewe ni wa jinsia pendwa! Heshima yako mkuu, nimekuelewa vizuri sana ulichokisema na nafuta hoja zote.
Sijui kama ni dharau au vipi ila najivunia jinsia yangu,naelewa kwa ufasaha lugha ya kiingereza!!

Kwa hapa umetudanganya mkuu[emoji3]..Diamond na harmonize wamefungiwa kuperfom nyimbo ya kwangaru Nyegezi Kenya!!sio kwamba Diamond amefungiwa kufanya shughuli za mziki nchini Kenya kama unavyotaka tukuamini[emoji1]

Siku nyingine usitafsiri neno moja moja kwenye sentensi ya Kiingereza utageuka kituko kama hivi[emoji23][emoji23]

Inaamana bloggers wote hawajaelewa alichosema Mutua ila umeelewa wewe tu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahaba hupofusha macho mkuu, kama unadhani una hoja za kuwashawishi mods wakubaliane na wewe, washauri wabadili headline ili usiendelee kuchefukwa na huu uzi! It was nice to argue with you!
Nichefukwe na hoja nyepesi kama hii.Sasa mimi na wewe nani kipofu nimekupa reference zaidi ya nne zote zinaongea kitu kile kile nilichokiandika,sasa sijajua mimi na wewe nani kipofu.
 
'BASATA' ya Kenya, imemfungia msanii Diamond Platnumz, kufanya shughuli za muziki nchini humo. Pia imeufungia wimbo wa Kwangaru alioimba na Harmonize kwa madai ya kukosa maadili. Hatua hiyo imekuja kwa kuchelewa kwani tayari Kwangaru imeshaweka rekodi ya kuwa the most viewed music video in East Africa, Kenya inclusively. Yajayo yanasikitisha.

***
Kenya Film Classification Board (KFCB) boss Ezekiel Mutua has banned Harmonize and Diamond’s hit song Kwangwaru.

Speaking in Mombasa, Mutua made it clear that he will not allow Diamond and other foreigners whose music have been banned in their countries to perform in Kenya.

Mutua said that the content of the song Kwangwaru undermines the country’s culture and values. “There will be no singing or performing of coded music by young children that they cannot understand,” he explained. According to Mutua, anyone found playing this type of songs for our children will be dealt with.

The KFCB also explained that the Kenya Revenue Authority incurs loses in revenue whenever the artists perform in Kenya because they lias with the club managers to perform and send the revenue directly to their countries while Kenya gets nothing.

“This is the start of the national campaign to restore our moral values, ensure regulation and compliance with the film and stage plays act,” Mutua stated.View attachment 1043835
CHADEMA wanahusika kama siyo CLOUDS FM
 
Nichefukwe na hoja nyepesi kama hii.Sasa mimi na wewe nani kipofu nimekupa reference zaidi ya nne zote zinaongea kitu kile kile nilichokiandika,sasa sijajua mimi na wewe nani kipofu.
Sawa mkuu tukubaliane katika kutokukubaliana kwamba mimi ni kipofu na wewe upo sahihi. hapo vipi!
 
Sijui kama ni dharau au vipi ila najivunia jinsia yangu,naelewa kwa ufasaha lugha ya kiingereza!!

Kwa hapa umetudanganya mkuu[emoji3]..Diamond na harmonize wamefungiwa kuperfom nyimbo ya kwangaru Nyegezi Kenya!!sio kwamba Diamond amefungiwa kufanya shughuli za mziki nchini Kenya kama unavyotaka tukuamini[emoji1]

Siku nyingine usitafsiri neno moja moja kwenye sentensi ya Kiingereza utageuka kituko kama hivi[emoji23][emoji23]

Inaamana bloggers wote hawajaelewa alichosema Mutua ila umeelewa wewe tu?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu basi yaishe bwana, ujue mi huwa napenda sana kubadilishana mawazo na nyie ndugu zangu. Nakuja PM kwako nikiwa na nia njema kabisa, tafadhali nipokee kwa mikono miwili ili unidadavulie zaidi kuhusu hii ishu ya Mond 😀
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Now days mpaka huwa najisikia huzuni --- huwa nakutana na watoto wanaoziimba hizo nyimbo mpaka nastaajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua naona kama majamaa wanaonewa mpaka nilipomkuta mtoto wangu wa miaka miwili na nusu anaimba tetema roho ya ubasata ikaniingia now i hate those niggers with all my heart
Yaani acha mkuu, nilivikuta vitoto vidogoo vikiimba huo wimbo wa mwanza tena wanaweka msisitizo, aibu nikaona mimi maana sidhani hata kama vyenyewe vinaelewa maana yake[emoji134]
 
Wivu tu.. mbona nyimbo za wasanii wa Kenya zina matusi ya waziwazi kabisa
 
Back
Top Bottom