Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

source yake?
 
Kiukweli wasafi wanaongoza kwa matusi, wanaongoza pia kuwa na wasanii ambao wana fanya vizuri youtube(I hope hii ni kwa sababu mashabiki zao wengi ni wahuni wanaopenda kusikiliza matusi).

Afu serikali ishagawaacha tu..

But itz okay
 
Kiukweli wasafi wanaongoza kwa matusi, wanaongoza pia kuwa na wasanii ambao wana fanya vizuri youtube(I hope hii ni kwa sababu mashabiki zao wengi ni wahuni wanaopenda kusikiliza matusi).

Afu serikali ishagawaacha tu..

But itz okay
Kuna mashabiki zake diamond hilo hawalion [emoji16][emoji16] utaambiwa yeye ndio msanii tajiri blahblah kibao. Matusi yamezidi kwenye nyimbo zao kwakweli
 
Ila hawa majamaa wa wasafi wana nguvu ya ziada aise, yaan wanatoa ngoma za ovyoovyo tu ila zinahit kinoma,

Mfano hii ngoma ya tetema hata kwanza haieleweki maudui yake ni nn, lkn mitaani watu wamechizi nayo balaa. Daaaah hawa majamaa sio bure, kuna kitu asee
 
Thanks lord, juzi nimeandika uzi "Nje ya mapenzi Diamond anaweza nini"? lakini baadhi ya watu hapa walinitusi sana na leo ukweli unadhihiri. Huyu dogo uchafu wake ni dhahiri na sijui ni kwanini hawa Basata wetu wanasuasua nini kumfundisha adabu. Huyu dogo ni kkchefu chefu kwenye sanaa yetu na akili yake imekwama kabisa yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…