Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndimi yangu na yako hapo. Au lips yangu na yako. Ndiyo tafsiri rahisi au wewe unawaza nini!?kuna ile nyimbo yao wanasema NALEGEAAAAAAAAAAAAAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKO
Ndio maana ya ubunifu hiyo. Mnafanya maisha magumu mno. Huwa mnasikiliza na kuzielewa nyimbo za wakongo!?hawa watoto wana matusi sana lakini nashangaa wanaachwa tu
Msikilize msemaji hapo anasema haya si maneno yangu
''Tunashirikiana na police na tumeshasema we will make it very difficult for people like Diamond and OTHER FOREIGN ARTIST WHO HAVE BEEN BANNED IN THEIR COUNTRY WON'T BE ALLOWED TO PERFORM HERE
Those guys dont pay taxes while money have been directed to theri home countries, that is corruption, for those who invites them here will be regarded as corrupt, we won't allow that''
Hatutaruhusu foreign musicians whose their music have been banned to perfom, unakuta watoto wanaimba kwamba AINAMA INAMA NA WANAWAIMBIA MAMA ZAO NA MAMA WANASHANGILIA KWAMBA UNATAKA KUCHEZA POOL TABLE WAKATI UMEINAMA, na akina mama wanashangilia hatutaruhusu hapa Kenya,
MAONI YANGU
Ni kweli ni muhimu kurudi kwenye maadili, nimeuliza hivi kama mamlaka hazitachukua hatua mapema nawaza miaka 20 ijayo kutakuwa na hali ya hatari sana,
TUJIANDAE KISAIKOLOJIA HIZI NYIMBO NA MAADILI VIENDANE
Hahaha naukumbuka wimbo wa ludacris umepigwa sanaaaaUtakuta za kimarekani zinazoimba fukc fukc zinaruhusiwa,akili ya mtu mweusi anaijua mwenyewe..
HaaaaaaaNey wa mitego anakuambia
" Wazee wa kupima oil"..=Fingering female genitals
"Siku hizi tunafunga nyama kwenye foil"=0713
Aisee wasanii wa bongo wanaimba uchafu sana
Muoneni huyu! Wakenya wanaona wivu Wabongo kwenda kupiga mpunga na kuja kuwekeza Bongo huku wao wakiambulia patupu!! Wivu huu wa Wakenya ulianza pale ilipogundulika kwenye shoo moja kule Mombasa, Diamond alikuwa amelipwa 5 Million za Kenya, Kiba 3 Million wakati hakuna Kenyan Artist hata mmoja ambae alilipwa angalau 1 Million!Hawa mashetani wanapotosha jamii sana na nyimbo zao za kuzimu.
Bora wapigwe tu marufuku maana nyimbo zao hazina maadili kabisa zaid ya matusi
Kisha wanaendelea:-One of the most notable responses was by Jalang'o, who was rooting for the media personalities. In his defence, he stated that radio presenters don’t choose playlist, but management decide what is to be played based on data collected from consumer preferences research.
“The other day we were involved in making our playlist, I posted it here asking you to help us and the results were shocking almost! 50 percent Bongo 40 percent Naija!” he said on his post.
Hawakuishia hapoAccording to him, local artistes remain behind because they are not taking full advantage of digital platforms to push their music. He asserted that Nigerian and Tanzanian artistes are more aggressive and employ better marketing strategies than their Kenyan counterparts.
“The other day @thekingkaka launched his album, they didn’t even show up, and the other day saw them begging selfies with Diamond just like they did with Neyo instead of asking for collabo!” he added.
Halafu tena?Nyashinski took issue with a video that Willy Tuva posted where the radio presenter was interviewing Taita Taveta Governor Granton Samboja.When asked to name his favourite song, the governor said "Kwangaru" by Harmonize featuring Diamond and went on to sing it word for word. The clip however ended before the governor could name his favourite Kenyan artistes. To this Nyashinski reacted:
So, hayo mambo sijui maadili sijui nini ni visingizio tu ya kutafuta kuungwa mkono na watu aina yako! Ukweli ni kwamba, inawauma sana kuona Wabongo wame-dominate Kenya!Concerts and events! I swear I do events all year through and it is a struggle to even sell tickets to a full Kenyan concert! MASHUJAA festival, Sawasawa festival, Jamhuri festival are all struggling! And when they decide to come, a Kenyan would rather ask for a complimentary ticket but spend 20k on drinks. See the Naija events and BONGO events are sold out before even the event! So ask yourself ‘what are you doing to support?’