Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi ya tasifida.....mama.. makali yanapungua... Hilo neno fukc weka kwa kiswahili uone kama hujachezea ban humuUtakuta za kimarekani zinazoimba fukc fukc zinaruhusiwa,akili ya mtu mweusi anaijua mwenyewe..
Loh! Ni ...kc au ...ck?Utakuta za kimarekani zinazoimba fukc fukc zinaruhusiwa,akili ya mtu mweusi anaijua mwenyewe..
kuna ile nyimbo yao wanasema NALEGEAAAAAAAAAAAAAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKO
source yake?Baadhi ya nyimbo za wasafi zapigwa marufuku kupigwa katika station nchini kenya, Nyimbo hizo ni zile zenye maudhui na maneno ya matusi. na pia kudai baadhi ya wasanii wanaoingia nchini humu hawalipi kodi kwa kuwa hufanya malipo kutokea nchi walizomo na kuinyima serikali ya kenya kukosa mapato.
Loh! Ni ...kc au ...ck?
KumbeUkiandika sahihi wanaweka ********
Piga marufuku hiokuna ile nyimbo yao wanasema NALEGEAAAAAAAAAAAAAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKO
Kuna mashabiki zake diamond hilo hawalion [emoji16][emoji16] utaambiwa yeye ndio msanii tajiri blahblah kibao. Matusi yamezidi kwenye nyimbo zao kwakweliKiukweli wasafi wanaongoza kwa matusi, wanaongoza pia kuwa na wasanii ambao wana fanya vizuri youtube(I hope hii ni kwa sababu mashabiki zao wengi ni wahuni wanaopenda kusikiliza matusi).
Afu serikali ishagawaacha tu..
But itz okay
Daah ila 'ngenya' hua zinasifiwa sana.kuna ule wimbo unasema "mamilooo mamilooo yako inabana ina taiti" sasa najiuliza ni nguo au K.
...ni Wimbo not NYIMBOkuna ile nyimbo yao wanasema NALEGEAAAAAAAAAAAAAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKO
Pamoja na wewe unayetizama YouTubeKiukweli wasafi wanaongoza kwa matusi, wanaongoza pia kuwa na wasanii ambao wana fanya vizuri youtube(I hope hii ni kwa sababu mashabiki zao wengi ni wahuni wanaopenda kusikiliza matusi).
Afu serikali ishagawaacha tu..
But itz okay
Pamoja na ww ulie reply comment yangu