Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

Yaani hawa jamaa hata mimi waga nawashangaa sana nyimbo zao %kubwa ni zamatusi
Cha ajabu ndiyo nyimbo zinazo fanya vizuri YouTube nabaki najiuliza hiv watu walio wengi ni wahuni?
Maana ukweli nyimbo zao hazifai kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msikilize msemaji hapo anasema haya si maneno yangu

''Tunashirikiana na police na tumeshasema we will make it very difficult for people like Diamond and OTHER FOREIGN ARTIST WHO HAVE BEEN BANNED IN THEIR COUNTRY WON'T BE ALLOWED TO PERFORM HERE
Those guys dont pay taxes while money have been directed to theri home countries, that is corruption, for those who invites them here will be regarded as corrupt, we won't allow that''

Hatutaruhusu foreign musicians whose their music have been banned to perfom, unakuta watoto wanaimba kwamba AINAMA INAMA NA WANAWAIMBIA MAMA ZAO NA MAMA WANASHANGILIA KWAMBA UNATAKA KUCHEZA POOL TABLE WAKATI UMEINAMA, na akina mama wanashangilia hatutaruhusu hapa Kenya,

MAONI YANGU

Ni kweli ni muhimu kurudi kwenye maadili, nimeuliza hivi kama mamlaka hazitachukua hatua mapema nawaza miaka 20 ijayo kutakuwa na hali ya hatari sana,

TUJIANDAE KISAIKOLOJIA HIZI NYIMBO NA MAADILI VIENDANE
 
kuna ile nyimbo yao wanasema NALEGEAAAAAAAAAAAAAAAAAA IKIGUSANA YANGU NA YAKO
Ndimi yangu na yako hapo. Au lips yangu na yako. Ndiyo tafsiri rahisi au wewe unawaza nini!?
 
Ney wa mitego anakuambia

" Wazee wa kupima oil"..=Fingering female genitals

"Siku hizi tunafunga nyama kwenye foil"=0713

Aisee wasanii wa bongo wanaimba uchafu sana
 
Wivu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ney wa mitego anakuambia

" Wazee wa kupima oil"..=Fingering female genitals

"Siku hizi tunafunga nyama kwenye foil"=0713

Aisee wasanii wa bongo wanaimba uchafu sana
Haaaaaaa

Huyo ndo ney
 
Hawa mashetani wanapotosha jamii sana na nyimbo zao za kuzimu.
Bora wapigwe tu marufuku maana nyimbo zao hazina maadili kabisa zaid ya matusi
Muoneni huyu! Wakenya wanaona wivu Wabongo kwenda kupiga mpunga na kuja kuwekeza Bongo huku wao wakiambulia patupu!! Wivu huu wa Wakenya ulianza pale ilipogundulika kwenye shoo moja kule Mombasa, Diamond alikuwa amelipwa 5 Million za Kenya, Kiba 3 Million wakati hakuna Kenyan Artist hata mmoja ambae alilipwa angalau 1 Million!

Tangu hapo Wakenya hawajatulia hadi wakaanzisha kampeni ya "Play Kenyan Music"

By Tuko!






By Start



Daily Active Kenya


Ghafla Kenya


The Nation!



Sehemu ya habari ya Nation inasema:-
Kisha wanaendelea:- Hawakuishia hapo Halafu tena?
So, hayo mambo sijui maadili sijui nini ni visingizio tu ya kutafuta kuungwa mkono na watu aina yako! Ukweli ni kwamba, inawauma sana kuona Wabongo wame-dominate Kenya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…