Baadhi ya nyimbo za WASAFI zapigwa marufuku, Diamond ashutumiwa kutolipa kodi anapofanya kazi Kenya

'BASATA' ya Kenya, imemfungia msanii Diamond Platnumz, kufanya shughuli za muziki nchini humo. Pia imeufungia wimbo wa Kwangaru alioimba na Harmonize kwa madai ya kukosa maadili. Hatua hiyo imekuja kwa kuchelewa kwani tayari Kwangaru imeshaweka rekodi ya kuwa the most viewed music video in East Africa, Kenya inclusively. Yajayo yanasikitisha.

***
Kenya Film Classification Board (KFCB) boss Ezekiel Mutua has banned Harmonize and Diamond’s hit song Kwangwaru.

Speaking in Mombasa, Mutua made it clear that he will not allow Diamond and other foreigners whose music have been banned in their countries to perform in Kenya.

Mutua said that the content of the song Kwangwaru undermines the country’s culture and values. “There will be no singing or performing of coded music by young children that they cannot understand,” he explained. According to Mutua, anyone found playing this type of songs for our children will be dealt with.

The KFCB also explained that the Kenya Revenue Authority incurs loses in revenue whenever the artists perform in Kenya because they lias with the club managers to perform and send the revenue directly to their countries while Kenya gets nothing.

“This is the start of the national campaign to restore our moral values, ensure regulation and compliance with the film and stage plays act,” Mutua stated.View attachment 1043835
wimbo wa kwangwaru ni harmonize so kama kufungiwa ilibid iwe ni kwa mmiliki wa wimbo
 
Naona kama tunapoteza muda tu, habari inasema Diamond, Harmonize wamefungiwa, na wimbo wao Kwangaru umefungiwa, wewe unasema hawajafungiwa. Tutabishana mpaka kesho, baki na ulichokielewa.
Unahamisha magoli ,sehemu gani nimesema nyimbo haijafunguwa,nimekwambia nyimbo imepigwa bani Mashuleni lakini mwenye party za watu wakubwa inapigwa,commenti yangu ya kwanza hii hapa.
sssss.PNG

Haya alafu msikilize kiongozi wa KFCB,source Daily Nation.

'BASATA' ya Kenya, imemfungia msanii Diamond Platnumz, kufanya shughuli za muziki nchini humo. Pia imeufungia wimbo wa Kwangaru alioimba na Harmonize kwa madai ya kukosa maadili. Hatua hiyo imekuja kwa kuchelewa kwani tayari Kwangaru imeshaweka rekodi ya kuwa the most viewed music video in East Africa, Kenya inclusively. Yajayo yanasikitisha.

***
Kenya Film Classification Board (KFCB) boss Ezekiel Mutua has banned Harmonize and Diamond’s hit song Kwangwaru.

Speaking in Mombasa, Mutua made it clear that he will not allow Diamond and other foreigners whose music have been banned in their countries to perform in Kenya.

Mutua said that the content of the song Kwangwaru undermines the country’s culture and values. “There will be no singing or performing of coded music by young children that they cannot understand,” he explained. According to Mutua, anyone found playing this type of songs for our children will be dealt with.

The KFCB also explained that the Kenya Revenue Authority incurs loses in revenue whenever the artists perform in Kenya because they lias with the club managers to perform and send the revenue directly to their countries while Kenya gets nothing.

“This is the start of the national campaign to restore our moral values, ensure regulation and compliance with the film and stage plays act,” Mutua stated.View attachment 1043835
Nashauri Diamond awarudishie demu wao... wanaume wa Kenya wan awivu..ila inauma sana dada yenu anakuja kubebwa wazi wazi.. ni aibu..sababu waliyoitumia haina mantiki..reason ni kile kidemu chao.. kwanz akibayaa
 
Youtube channel ya Daily Nation msikilize kwa huyo kiongozi wa KFCB alafu niambie sehemu gani amesema amampiga ban Diamond kufanya show Kenya.

Hebu sikiliza vizuri hapo kuanzia sekunde ya 28. Video umeileta mwenyewe halafu kumbe hujaisikiliza kwa sababu usingeuliza swali kama hilo.
 
Rudia wewe kusikiliza,ila alichosema hatoruhusu nyimbo zilizokuwa banned nchi kwao hao wasanii,ziruhusiwe Kenya,ili waweze kuulinda utamaduni wao na ndio maana wameupiga ban kutumika mashuleni na sio ku ban msanii asifanye tamasha na kama matamasha ya watu wazima ni ruksa kuperform hiyo nyimbo..
Source zaidi ya tatu inazungumza kitu kile kile

Ezekiel Mutua announces gov't ban of Kwangaru song by Diamond

Why ‘moral police’ Mutua has banned Diamond’s hit Kwangwaru from Kenyan schools – Daily Active Kenya

Uganda Online - Harmonize and Diamond Platnumz's Kwangwaru song banned in Kenyan schools

Diamond's Hit Song Banned From Kenyan Schools
 
1. Video inapoanza, anasikika akiwa anataja sijui Disco etc, wewe unasema ni kwenye shule tu.

2. Nimekusaidia ku-transcribe maneno anayoyasema kwa Kiingereza, labda kama pia utataka nikutafsirie kwa Kiswahili: "We will make it difficult for people like Diamond and other foreign artists whose contents have been banned in their countries, to operate here!"
 
Sawa mimi nimekosea,vipi hizo source nne nilizokupa nazo zote zimekosea? Mbona hujiongezi .KFCB they would not allow foreign artists to perform content that has been banned in their countries na si kumzuia msanii husika kuperform. Nimekupa source zaidi ya nne zote zinasema kile kile.
 
Wewe kiingereza hujui...amemaanisha kwamba ni marufuku kwa nyimbozilizofungiwa nchini kwao kupigwa hapa nyumbani kenya...

Hajafungiwa kuperfom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mimi nimekosea,vipi hizo source nne nilizokupa nazo zote zimekosea? Mbona hujiongezi .KFCB they would not allow foreign artists to perform content that has been banned in their countries na si kumzuia msanii husika kuperform. Nimekupa source zaidi ya nne zote zinasema kile kile.
Ndiyo maana nilikushauri baki na ulichokielewa! hakuna mantiki ya tunachobishania hapa.
 
Ku-operate here maana yake nini mkuu
Huwezi kutafsiri neno moja moja katika sentensi ya kiingereza halafu ukategemea kupata maana halisi,utapata kichekesho!!

Kiufupi ni kwamba,nyimbo zote zilizofungiwa huko makwao akimaanisha kwenye nchi zao mfano Tanzania basi ni marufuku nyimbo hizo kupigwa na wasanii hao wakiwa Kenya!!

Kama hivyo ndivyo, je, Kwangaru imefungiwa hapa nchini?
 
Ndiyo maana nilikushauri baki na ulichokielewa! hakuna mantiki ya tunachobishania hapa.
Kwa hiyo wewe ulivyoleta hii thread ulitaka watu waikubali kama ilivyo hata kama unaongopa au labda ulijiandikia mwenyewe na si wana jamii forum.Hoja zote zinachokuja jamii forum lazima watu wachallenge na ndio maana watu wana comment
 
Umepanic mkuu, kwa hiyo kwako wewe hii stori siyo ya kweli, Diamond, Harmonize hawajafungiwa na Kwangaru haijawa banned si ndiyo maana yake? Bila shaka wewe ni shabiki mzuri wa Diamond.
 
Kama hivyo ndivyo, je, Kwangaru imefungiwa hapa nchini?
Jamani we kaka!!mbona huyo baba ametanabaisha vizuri tu?!kwamba kwangaru hawaitaki iimbwe hasa mashuleni kama somo la dance,na nyimbo ya Mwanza(Nyegezi)ni marufuku kupigwa kokote kule akimaanisha kuanzia kwenye disco mpaka mtaani...

Hujamuelewa,alivyosema to operate here alimaanisha hizo nyimbo kwa hao wasanii!!sio kwamba ni marufuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepanic mkuu, kwa hiyo kwako wewe hii stori siyo ya kweli, Diamond, Harmonize hawajafungiwa na Kwangaru haijawa banned si ndiyo maana yake? Bila shaka wewe ni shabiki mzuri wa Diamond.
Mimi ni panic kwa hoja nyepesi kama hii ,ambayo ukiingia google hata dk 2 umalizi ushapata refence.Kichwa chako cha habari na content yako inasemaje? Kwangwaru yafungiwa au Diamond platnumz afungiwa kuperform Kenya.

Kwa hiyo kwa kuwa nakupinga (sababu na source za uhakika ninazo) ndio inanifanya mimi kuwa shabiki mzuri wa Diamond.Vipi wewe je ni adui wake Diamond platnumz.
 
Jamani we kaka!!mbona huyo baba ametanabaisha vizuri tu?!kwamba kwangaru hawaitaki iimbwe hasa mashuleni kama somo la dance,na nyimbo ya Mwanza(Nyegezi)ni marufuku kupigwa kokote kule akimaanisha kuanzia kwenye disco mpaka mtaani...

Hujamuelewa,alivyosema to operate here alimaanisha hizo nyimbo kwa hao wasanii!!sio kwamba ni marufuku

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh! Kumbe wewe ni wa jinsia pendwa! Heshima yako mkuu, nimekuelewa vizuri sana ulichokisema na nafuta hoja zote.
 
Back
Top Bottom