britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kabisa yanHalafu cha ajabu HAKUNA SHEIKH HATA MMOJA ANAYEKEMEA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa yanHalafu cha ajabu HAKUNA SHEIKH HATA MMOJA ANAYEKEMEA
sasa kama ni kweli wamekwepa kodi ni lazima wapelekwe mahakamaniSiasa imehusika pia si ajabu ukasikia kampun iliyo wapeleka wasanii wa bongo kufanya shows za mwisho wa mwaka kupelekwa mahakamani kwa kukwepa kulipa kodi.Ikumbukwe kuwa kampuni hiyo inamilikiwa na mwanasiasa hassan joh sultan.
ubaguzi gani tena mbona hapa bongo wanafungiwa, ingekua hiyo ishu ya kufungiwa imeanzia KE hapo sawa, wakenya wameona hakuna wanachofaidika nacho kam a hata kodi hawalipi.Bila shaka. Lakini tatizo linakuja HAWA mabwana namna walivyopangilia hoja zao, ukiangalia Na kampeni ya kuwasapoti wana muziki wao tu, ndo halo linapokuja jibu kwamba hawana shida na maadili Bali ni ubaguzi wa ki utaifa tu.
Maudhui ya muziki wa Diamond ni hatari kwa jamii. Muziki wa diamond huwezi kuusikia nyumbani kwangu never. Upuuzi mtupu.
Aliyekuwa anamzuia ku post hayupo kwa sasa.Source Millard Ayo tena? Kaanza lini kureport habari za mond
Hahah kwa nini waislamu mkuu. Maadili hayana dini. Nyinbo zake zinatakiwa zipigwe marufuku kama pornography.Jamii ya Waislam Tanzania ichukue hatua juu ya muumini huyu!
Hiyo Kwangwaru wanayoifungia sasa, imetoka lini? Wimbo unakaribia mwaka sasa, ndo unakuja kuufungia leo halafu bado unaamini wanafungia kwa sababu za kimaadili?! Kwani ni nani asiyejua kwamba wameanzisha kampeni za kutopiga nyimbo za Tanzania? Hao wengine, kama Naija et.al ni victims tu lakini walengwa hapo ni Watanzania! Narudia, tangu siku Diamond amelipwa KShs. 5 Million, Wakenya kiliwauma sana kile kitu hasa ukizingatia wasanii hao hakuna anayelipwa hata robo ya hiyo pesa!!hawa vijana wanatukana sana nowdays itabidi media za Tanzania zianzishe kampeni ya "tokomeza matusi kwenye nyimbo" ndo watashtuka ujinga wanaoufanya.
Sasa hayo maadili yameanza sasa?!Kenya Film Classification Board CEO Ezekiel Mutua has given Diamond Platinumz and WCB artists' fans a reason to celebrate after claiming Kenya cannot stop the star from performing in the country. Mutua said Kenya cannot arrest the singer or stop him from entertaining his fans in scheduled Wasafi Festival set for Mombasa, Nairobi and Embu. Read more: KFCB boss says banned Diamond Platinumz free to perform in Kenya
Kutetemeka mfano,Baridi,Jenereta,Upigwapo shock ya umeme nakadhalika.Hivi tetema ndo nini?
haha....huyo waziri kenya anakwambia kwao wanaimba vizuri tuu......daimond yupo vuzuri sana kwa kweliWatoto Wachanga ni wale wanaonyonya, sasa wanaimba nini hao?
Maudhui ya muziki wa Diamond ni hatari kwa jamii. Muziki wa diamond huwezi kuusikia nyumbani kwangu never. Upuuzi mtupu.[/QUOTE
kama unajitambua huwezi sikiliza nyimbo za kijana wa darasa la saba mkuu .Taratibu watanzania wameanza tambua kuwa na weleni wa kibaya na kiziriu hata hivyo kijana alishapiga bao siku nyingi .Maudhui ya muziki wa Diamond ni hatari kwa jamii. Muziki wa diamond huwezi kuusikia nyumbani kwangu never. Upuuzi mtupu.
Man, kuna unafiki mkubwa katika hili; nashangaa kuna baadhi ya Wabongo wanafurahia! Ukitaka kuona unafiki uliopo, Kwangwaru ina karibu mwaka mmoja sasa! Kwanini waifungie sasa? Aidha, wanadai nyimbo zilizofungiwa kwenye nchi mwenyeji, hazitachezwa Kenya! Ajabu ni kwamba, Kwangwaru haijafungiwa Tanzania! Lakini cha ajabu zaidi, wakati BASATA wanaifungia Mwanza (Nyegezi), huyo huyo Ezekiel Mutua alitangaza Mwanza/Nyegezi itaendelea kuchezwa Kenya! Na hata kwenye Wasafi Festival, Mwanza ilipigwa live!Hivi Kenya si wana support LGBT sasa kitu kidogo kama hiki wanakipigaje ban!?..Unless hiyo red lines ndio sababu kuu.
Mutua ameshawapata watu aina yako kwa sababu kila mwenye kutumia ubongo wake sawasawa, anajua suala hapa sio maadili! Hivi nchi inayoonesha hadi filamu za usagaji kwenye cinemas, ni unafiki ulioje useme nyimbo kama Kwangwaru haina maadili?!Maudhui ya muziki wa Diamond ni hatari kwa jamii. Muziki wa diamond huwezi kuusikia nyumbani kwangu never. Upuuzi mtupu.
Man, kuna unafiki mkubwa katika hili; nashangaa kuna baadhi ya Wabongo wanafurahia! Ukitaka kuona unafiki uliopo, Kwangwaru ina karibu mwaka mmoja sasa! Kwanini waifungie sasa? Aidha, wanadai nyimbo zilizofungiwa kwenye nchi mwenyeji, hazitachezwa Kenya! Ajabu ni kwamba, Kwangwaru haijafungiwa Tanzania! Lakini cha ajabu zaidi, wakati BASATA wanaifungia Mwanza (Nyegezi), huyo huyo Ezekiel Mutua alitangaza Mwanza/Nyegezi itaendelea kuchezwa Kenya! Na hata kwenye Wasafi Festival, Mwanza ilipigwa live!
WHY NOW?!
Wakenya wanaumia sana kuona Bongo Flavor inavyovurugwa kwenye mitaa ya Nairobi, Mombasa na miji mingine! Radio na TV Stations zinacheza zaidi nyimbo za TZ kuliko za Kenya! Mbaya zaidi, wasanii wa Tanzania wanalipwa pesa nyingi sana wakifanya shows Kenya kuliko wanavyolipwa Wasanii wa Kenya! Kwa mfano, ile show ya Mombasa na Chris Brown, Mond alilipwa 5 Million (KSH) na Kiba alilipwa 3 Million wakati hakuna Mkenya aliyekuwa amelipwa angalau 1 Million!
Sasa badala ya kutengeneza kazi mzuri ili ziweze ku-compete na Bongo Flavor, Wakenya wame-opt kutumia shortcut kwa kuziwekea figisu figisu nyimbo za Tanzania. Hizo habari sijui za maadili nini na nini, ni geresha tu kwa sababu Wakenya hawana maadili hayo kwenye sanaa! Wakati wameshapata sababu kwa mtu kama Mond, watapata tu sababu kwa wengine kama akina Ali Kiba kwa sababu lengo lao ni kuitokomeza Bongo Flavor! Na ndio maa na hivi sasa kuna kampeni kali inaendelea inayoitwa PLAY KENYAN MUSIC!!
Mi naona wanakosea sana! Kwa sababu, of course wanaweza kupiga ban foreign music na wakawa wanacheza local music peke yake! Well and good, but what next kama hawataki changamoto?! It means Kenyan music itaendelea kuwa local. Busara wala haikuwa kupiga ban bali kufanya jitihada za kutengeneza muziki mzuri zaidi ambao ungeikimbiza Bongo Flavor kwenye viunga vya Nairobi, Mombasa na kwingineko! Hata Tanzania, zamani ilitawala Congolese and American music and of course, even Kenyan music ilikuwa inapigwa sana! Lakini baada ya local artists kuanza kutengeneza muziki unaowagusa Watanzania, Congolese music is dead, Kenyan music ipo ICU, American music inatumia vidonge vya kurefusha maisha, labda bado Naija especially club kwa sababu Bongo bado wanafanya sana radio version. We didn't ban any foreign music!Wa kenya ni watu peace sana licha ya ban bado wanapenda music poa ila hio siyo mbaya kila mtu acheze music wa nchi yake tu