A
Anonymous
Guest
Private Media za Arusha (radio za Arusha) mfano mzuri ni SUNRISE ARUSHA FM na radio zingine wanatoza wanafunzi wa field Sh 50,000 up to 70,000 sasa sijui kama ni utaratibu umewekwa au wakina nani wamejiamulia maamuzi hayo!
Ili mwanafunzi aruhusiwe kufanya field anatakiwa kutoa hela, mfano mzuri nilimuombea mdogo wangu field pale Sunrise nashangaa, ameenda anaambiwa ni lazima atoe 70K ili afanye field I was surprised na hiki kitu.
Huko wengine pia wanafunzi wanatozwa fedha ili wapewe nafasi ya field?