Baadhi ya raia wa Israel wajitokeza kuzuia misaada kupelekwa Gaza!!!

Baadhi ya raia wa Israel wajitokeza kuzuia misaada kupelekwa Gaza!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baadhi ya wananchi wa Israel wanaopinga mkataba wa kusitisha mapigano na magaidi wa Hamas leo wamejitokeza njia kuzuia Msafiri wa malori yenye misaada kuwapelekea magaidi wa Hamas huko Gaza


​
 
Gp7D1RNXQAAziig.jpeg
 
Sasa na hao Hamas wanaanzisha vita wakati hata kula yao ni kwa misaada?Eniwei,adui usimuombee tu njaa bali msababishie afe kwa njaa.
 
Kama upo n akili timam hauwez ita hamas ni magaid
Kama wewe si kichaa au zuzu lazima tu utawaita Magaidi kwa vitendo wanavyovifanya!!!
Oct 07,2023 walibaka,wakatesa,wakateka watu na kuua watu 1,200 ni kichaa peke yake atasema si magaidi!!
 
vipi wasiojulikana bado wanawalawiti mi niko pande za newyork,malizenu yenu kwanza afu ndo mhamie kwa jirani.
 
vipi wasiojulikana bado wanawalawiti mi niko pande za newyork,malizenu yenu kwanza afu ndo mhamie kwa jirani.
Kwa kuwa wewe ni mjinga na Mpumbavu hujui hili jukwaa ni la Kimataifa kwa hiyo ndiyo maana unataka tuongelee mambo ya Domestic acha ujinga acha kupenda kulawitiwa utaenda Motoni!!
 
Kwa kuwa wewe ni mjinga na Mpumbavu hujui hili jukwaa ni la Kimataifa kwa hiyo ndiyo maana unataka tuongelee mambo ya Domestic acha ujinga acha kupenda kulawitiwa utaenda Motoni!!
we mbwa kichaa achana na mimi
 
Back
Top Bottom