Baadhi ya sababu za kukataa kuoa, hoja zangu ni katika mtazamo wa kukataa kuuishi Ujinga na Upumbavu

Tote uliyotaja ni kweli tupu, hayajaaanza Leo, tangu kale, Sisi ni wanadamu, sio maraika, ukisema hii gari inatoa Moshi, na Ina magurudumu, siitaki! Sasa unategemea gari iwe na nini! Miguu! We tafutq maraika uishi nae,
Swali langu kwako, kama uoi,mbadala wake ni nini? Je utazaa na mwanamke kila MTU aishi kivyake kama Mond? Je Una maanisha hutafanya ngono kabisa, au, ngono unafanya, lakini hakuna kuleta watoto duniani?
 
Such cases ni udhihirisho wa huo ujinga na upumbavu. Exploit ur brain potential and you will purely settle with our perspective ya kwamba kuoa ni ujinga na upumbavu
Wanawake huwa hawana shida na kusubiri. Utafika 60 hizi mbwembwe za ujana zitaondoka kichwani na hicho hicho kingereza chako ndo utakitumia kutongozea mke hapo sijui presha mara kisukari vinakunyemelea.
 
Hoja ni kuoa sio kuzaa au ngono, ngono ni huru kuzaa ni huru na haina ufungamano wa lazima na kuoa.
Ngono ni ngono
Kuzaa ni kuzaa
Kuoa ni kuoa
Hakuna upacha wowote katika hayo wenye upekee
 
Wanawake huwa hawana shida na kusubiri. Utafika 60 hizi mbwembwe za ujana zitaondoka kichwani na hicho hicho kingereza chako ndo utakitumia kutongozea mke hapo sijui presha mara kisukari vinakunyemelea.
kaa kwa kutulia tumia akili ongea hoja acha utumwa.
 
kaa kwa kutulia tumia akili ongea hoja acha utumwa.
Hupangiwi kuoa, ila kufikiri wazee wa kale waliokuja na mfumo wa ndoa ni wajinga na wapumbavu hapo ndo ulipojianika kuwa una mihemko tu ya ujana.
 
Bado hoja zako hazitoshi kuuthibitishia ulimwengu kwamba kuoa ni kuuishi ujinga na upumbavu, sanasana zimejikita katika mtazamo wako
Na imekaa wazi nimesema ni mtazamo be sharp with your eyes
 
19. Mwanamke kichwani kwake ana uhakika wewe mwanaume ndo utaanza kufa hivyo anajiweka mkao wa kuhakikisha documents za mali zenu majina yanaeleweka na ajue zote mahali zilipo!
NDOA NI UTAPELI NA ULAGHAI KWA WANAUME
KATAA NDOA
KATAA NDOA
 
Ni kweli kuwa wanawake ni very complex beings, yaani itakuchukua maisha yako yote kujua nini hasa wanataka, ila principle ni moja tu, use common sense to mingle around them. Huwezi kuwakimbia wala huwezi kuishi bila mwanamke unless you're impotent or faggot.
 
Vijana hawaoi ila wanazaa na minyanduano kama yote kuliko hata walio kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…