Baadhi ya sababu zinazomfanya Magufuli aendelee kuwa Rais 2020-2025

Magufuli ataweka rekodi ya mafanikio pale atakapomaliza muhula wake 2025.
 


Akili yako inaendana na jina lako kweli kweli. Sio mzima kabisa ww. Tukiendelea kua a watu kama ww basi taifa letu litazidi kua nyuma kimaendeleo kwa karne nyingi sana uko mbele.
#chaguzihuru
#tumehuru
 
Akili yako inaendana na jina lako kweli kweli. Sio mzima kabisa ww. Tukiendelea kua a watu kama ww basi taifa letu litazidi kua nyuma kimaendeleo kwa karne nyingi sana uko mbele.
#chaguzihuru
#tumehuru
Wewe jibu hoja usilete porojo hapa. Kwa mfano hicho nilichokiandika ambacho ndo ukweli kinarudisha vipi taifa nyuma? Kwamba wapinzani wakichukua nchi ndo itaendelea? Vyama vyao vinawashinda ndo wataweza nchi? Kwa akili hizi mlizonazo ndo maana hamuwezi kujua baya wala zuri, nyie ni bendera tu fuata upepo.
 
Yaani nashangaa inamaana upinzani tumekosa kabisa sera Na mikakati ya kuiondoa CCM mamlakani 2020??

nachukizwa na jinsi upinzani ulivogeuka mtetezi wa kila mwana ccm anaonekana yupo tofauti na magufuli...!

Guys ccm wana chama chao na mambo yao wanayajua wenyew.

Leo hii watu tena viongozi wakubwa upinzani mnamshupalia BERNARD MEMBE kweli Jaman...??
Yaani MEMBE anaonekana shujaa leo kwa Kisa tu yupo against na magu.!

Let's be real.. Kina MEMBE hawa ndo walikuwepo awamu ambayo tuliwapoteza watu na wengine waliteswa (Dr. Ulimboka, na kina mvungi.) hakuna jipya ndani ya ccm trust me HAKUNAAA!!!!

Yaani kina Nape nauye siku hizi ndo mabest zetu wezi mashuhuri wa kura, wanaonekana mashujaa..!


Tumetingwa na kina MEMBE mpaka tunasahau kuna CHUMA kipo ubelgiji .
 
Kumbe
 
Unasema Lissu na membe sio presidential material how Magufuli akawa presidential material hadi kugombea 2015?
Tanzania hii uzembe wa TISS wa kuwa chini ya ccm ndio mana unaona huu ujinga,Kwa sasa TZ hii hata wewe unaweza kuwa rais ukifanya baadhi ya machache tu.Haina viongozi wa kutengenezwa,ina viongozi wa kusukumizwa hasa Mkapa na Magufuli.
Kama tungekuwa tunajitambua basi kina Nappe,Zitto,Makamba,Mnyika,Bashite,Happy,Gondwe,Malisa,Masele,na wengineo wengi wangekuwa wanaoigiwa chapuo kwa kufundishwa kivitendo kama wengine wafanyavyo.mf.Familia ya Bush kule US wanawafundisha watoto wao kuwa viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hasa urais.Na hakika ni watu wenye uwezo mzuri.Hata sisi tukiwajenga vijana kuwa viongozi tangu wakiwa vyuoni,hakika tutapata rais imara,lakini saiz uchaguzi wa Vyuo kama sio Uvccm unakatwa mapema tu.sasa hapo ndo tunaharibu maana tutapata kiongozi kama Magufuli ambaye anaingia hata ajui anafanya nini anapata frustration,anafanya mambo ya aibu,hadi nchi inakwenda bora tumeamka,vision2015-2020Tanzania ya viwanda imekufa,Vision 2025-Tanzania kuwa na uchumi wa kati haipo.Ajira hakuna.Akija rais mwngine baada yake atasema sasa wachina waendeleze ujenzi wa bandari ya Bagamoyo,stigler gauge imejaa matope ndo maana bado umeme hautoshi kwenye mkongo wa taifa.Hazitatoka ajira mpya zozote kuanzia wale waliohitimu 2023 ili wale ambao hawakuajiriwa tangu 2013 wapate nao ajira ili Bodi ya mikopo ikusanye hela ya kutosha.Yani itakuwa fujo fujofujo kwa kuwa Tanzania haina vision.Masele akiendelea kufanya vizuri kimataifa,makina makamba urais watausikia kwenye bomba.
 
Zenj uchaguzi ulifutwa... Tumia akili Maalim Seif Sharif Hamad alitakiwa awe ikulu.
Kama Lowassa hapa Tz, kama Mrema enzi zile
 
Zenj uchaguzi ulifutwa... Tumia akili Maalim Seif Sharif Hamad alitakiwa awe ikulu.
Kama Lowassa hapa Tz, kama Mrema enzi zile
Zenji ni different case. Kama unaamini uchaguzi ulifutwa hivi hivi mbona walivyoambiwa warudie waliweka mpira kwapani. CUF wanajua walichokifanya pemba.
 
Zenji ni different case. Kama unaamini uchaguzi ulifutwa hivi hivi mbona walivyoambiwa warudie waliweka mpira kwapani. CUF wanajua walichokifanya pemba.
Warudie ili iweje?.. kura zikiwapungua ndio turudie .
 
Labda hapo nyumbani kwenu sitimbi.
 
Umeongea mengi kwa hisia kali nitaandika kesho, lakin uwezo wa urais haupimwi kwa kauli mbili tu,, Masele unayemsema umemjua kisa sakata hili
 

umesahau usipo kuwa ccm na kama mfanyabiashara basi ujue.biashara zako utazisikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…