Ndugu katafute nafasi ulaya ya ukimbizi, hivi kweli kwa akili ulizopewa na mungu, kuna Kiongozi wa kiafrika anaondoka kitini kwa kura.Kama anakubalika, mwambie akubali Tume huru au hata akabuli wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu katafute nafasi ulaya ya ukimbizi, hivi kweli kwa akili ulizopewa na mungu, kuna Kiongozi wa kiafrika anaondoka kitini kwa kura.Kama anakubalika, mwambie akubali Tume huru au hata akabuli wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
Kwahiyo sisi tunaishi na kulala mitandaoni, unasahau kuwa sisi wa mitandaoni ndio hawa hawa wa mitaani, unachokiona mitandaoni ni reperesentation ya kilichoko mitaani.
Hapa mitandaoni tunaongea na kujadili tuliyokutana nayo mitaani acha kujidanganya.
Anashindwaje kuurekebisha ili kuthibitishwa kuwa anakubalika? Uwezo huo mbona anao?Kwani yeye ndiye aliyeanzisha utaratibu huo?
Kama anakubalika, mwambie akubali Tume huru au hata akabuli wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi.
YesUshindi wa CCM, 75% unaletwa na hiyo namba moja. Hizo namba nyingine ni sababu nyingine tu za kuficha aibu ya namba moja.
No research no right to speak!! JK 2010 alibaki kiujanjaujanja, Huyu nae kaingia si kwa kura ila kwa dola, usiwasingizie wa vijijini, matokeo kwa karatasi hupoteza ila dola inawabeba.
Muarobaini wa haya machakachuzi ni tume huru tuu, lakini wananchi wanafanya maamuzi ila tume nao wanatoa yao.
HaiwezekanWapinzani huwa wanashinda chaguzi nyingi na wapiga kura wapo hata huko vijijini lakini kazi ipo kwenye kutangaza matokeo ndipo CCM huwafanyia uchakachuaji na tayari Tume na Polisi wana matokeo ya 2020 mifukoni wanasubiri muda na tarehe kumtangaza Magufuli kuwa ndiye Rais kisha atamteua Daud Maliyamungu Bashite kuwa Waziri ili kutokomeza mfumo wa vyama vingi na kurejesha mfumo wa chama kimoja kisha Magufuli kuwa Rais mpaka 2035
MSiku zote madikteta huwa wanashinda kwa ubabe na uporaji wa kura