Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Sitaongea sana, usinunue samaki usiku🥹
Sasa wewe unanunuaje samaki zilizokaangwa sokoni, nenda feli chukua samaki kakaange home, samaki zimekaa wiki mbili unanunua !Sitaongea sana, usinunue samaki usiku🥹
Samaki wanafunza elimu duniaUkisoma kichwa cha Uzi ni kama samaki Wanatoa Elimu
🤫🤫🤫😅😅😅 Wale wanakuaga wameoza ndani lakini nnje wapo vizuri sana. Ukimuweka kwenye maji tu unaona majamaa wanaogelea
Siwezi haribu biashara Yako mkuu
ila we jamaa jau sanaWeka picha
Yani kwa sababu ya samaki tu ndio mtu aoe hebu acheni hizo.Si uoe uache kula samaki wenye funza..!!
picha ya funza au😂😂😂 ila watuWeka picha
Hapo vijana watafute pesa tu kuepuka kununua vitu njiani.Si uoe uache kula samaki wenye funza..!!
Basi usilalamike kula funza 😹😹Yani kwa sababu ya samaki tu ndio mtu aoe hebu acheni hizo.
Good boy!Siwezi haribu biashara Yako mkuu
Si uoe uache kula samaki wenye funza..!!
Pesa sio kila sehemu itatumika..!!Hapo vijana watafute pesa tu kuepuka kununua vitu njiani.
Udalali umeanza lini? 😹😹Kijana fursa hii. Huyu binti ni Mdogo wangu. Oa uache kuteseka na mlo