Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Udalali umeanza lini? 😹😹
Tanzania hii hakuna asiye dalali.
Kama top 10 ya Matajiri kule juu ni madalali nani kabaki?
Udalali umeanza lini? 😹😹
Sure, lakiniTena kwa balo balo wanaojipenda hawashiki mafuta mafuta kukaanga , anachukua wabichi, Siku hizi Kuna airfryer Hadi za bei yake anayomudu 🤣🤣🤣. Anasolve kila kitu.Sasa wewe unanunuaje samaki zilizokaangwa sokoni, nenda feli chukua samaki kakaange home, samaki zimekaa wiki mbili unanunua !
Nani boy wewe, 🙂🙂😁heshimu hata mwaka wa ID basi. Mi ni mzeeGood boy!
Basi mzee, am thore😁Nani boy wewe, 🙂🙂😁heshimu hata mwaka wa ID basi. Mi ni mzee
Ilaaniwe CCM imeunguza akili za Hawa watuBasi usilalamike kula funza 😹😹
Kwanza samaki likiwa na uvundo na funza ndo linanoga, tena ulipike chukuchuku hapo mchawi pilipili 🤣😹😹
Yoa welcome young ladyBasi mzee, am thore😁
Hamna sehemu pesa haitumiki, Hamna haja ya torch aende kwenye mabucha mazuri yanayouza nyama, samaki na kuku wa kienyeji hawezi kutana na funza.Pesa sio kila sehemu itatumika..!!
Kuna muda sio lazima ujisaidie toilet ukibanwa unazama vichakani..!! 😹😹
Huyo yeye ajitahidi kumulika na tochi pindi anapochagua asiutegemee mwanga wa mbalamwezi sana usiku..!!
Best alternative, thumbs up ila hapo kwenye ya bei yake nimeona kama dongo😅😅Sure, lakiniTena kwa balo balo wanaojipenda hawashiki mafuta mafuta kukaanga , anachukua wabichi, Siku hizi Kuna airfryer Hadi za bei yake anayomudu 🤣🤣🤣. Anasolve kila kitu.
Basi usisahau kunipa ganji mi mwenyewe winga si unajua 😹😹Tanzania hii hakuna asiye dalali.
Kama top 10 ya Matajiri kule juu ni madalali nani kabaki?
Sasa kama hilo eneo halina butcher Kwahiyo asinunue samaki za mezani??Hamna sehemu pesa haitumiki, Hamna haja ya torch aende kwenye mabucha mazuri yanayouza nyama, samaki na kuku wa kienyeji hawezi kutana na funza.
Vipi samaki aina ya papa hujalikuta na funza?Ilaaniwe CCM imeunguza akili za Hawa watu
Wafanyabiashara wa hivi huwa hawaendelei, mwisho wa siku anafunga biashara.Sitaongea sana, usinunue samaki usiku🥹
Option zingine zipo nyingi tu sio lazima ule uozo.Sasa kama hilo eneo halina butcher Kwahiyo asinunue samaki za mezani??
Jomba umekuja kuwaje? Badala ya kupost kipenzi chako umeanza kupost huyu manzi mwenye makalio ya dunia nzima?
HahahahahaaaaaJomba umekuja kuwaje? Badala ya kupost kipenzi chako umeanza kupost huyu manzi mwenye makalio ya dunia nzima?