Situmii mapapa Mimi, Nakula Changu tuVipi samaki aina ya papa hujalikuta na funza?
Naona uliandika saa 4 na dakika 39 usiku ndio muda ulionunua samaki mizogaยฟSitaongea sana, usinunue samaki usiku๐ฅน
Km wewe ni zombie funza halali yakoFunza wanaprotini ya kutosha mkuu
๐น๐น๐น Michangudoa itakutia madoa..!!Situmii mapapa Mimi, Nakula Changu tu
Ulivyo serious sasa utafikiri hujawahi kula changu ๐น๐น๐นOption zingine zipo nyingi tu sio lazima ule uozo.
Andika vizuri mwenetu hapa mtu akisoma kwa kichwa cha chini ataelewa vingine kabisa๐Ulivyo serious sasa utafikiri hujawahi kula changu ๐น๐น๐น
๐น๐น๐น Kwahiyo na wewe umesoma kwa kichwa cha down ๐คฃAndika vizuri mwenetu hapa mtu akisoma kwa kichwa cha chini ataelewa vingine kabisa๐
doze doze!!!!๐น๐น๐น Kwahiyo na wewe umesoma kwa kichwa cha down ๐คฃ