Baadhi ya tabia zinazosababisha thamani yako ishuke mbele ya mwanamke

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
382
Reaction score
687
Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe, nakupotezea mno, hamfanyi mapenzi mara kwa mara na hamkutani mara kwa mara tena, na unaona unamkosa.

Inabidi uanze kujiangalia kwanza wewe kabla ya kumsema mwanamke. Inawezekana kuna tabia ulionesha zilizomfanya akushushe thamani na mvuto wako kwake ukapungua. Tabia hizo ni kama;

Kutokuwa na maamuzi
Mwanaume umeumbwa kuwa na maamuzi na ukishafanya maamuzi uyasimamie na uyatekeleze.
Ndio maana ya ujasiri, lakini unapomtegemea mwanamke akufanyie maamuzi hata madogo kama vile unakula nini au mtoke muende wapi, atakuona sio jasiri.

Ila ukiwa na maamuzi, pia utamsaidia mwanamke, maana mwanamke kuna muda hajui aamue nini na atakutegemea katika hilo. Usipokuwa na maamuzi atakuona mwanamke mwenzake tu.

Kumlalamikia/ kumsifia ex wako
Kwamba ex wako alikusababishia hivi au vile mpaka maisha yakawa magumu, au ex wako alikuwa anakupa hiki au kile mpaka ukawa unaridhika. Ukikutana na mwanamke anayejielewa atakupiga chini hata kabla jua halijazama. Achana na ex, yameshapita, furahia na huyo uliyenaye sasa.

Kujishusha kila muda kwa mwanamke
Inatokana na kumuona mwanamke yuko juu yako. Unataka muda wote uwe naye, kumfanya mwanamke ndo kitu pekee maishani mwako. Au kujiona kuwa hustahili kuwa na huyo mwanamke lakini unamtaka, au kuona umepata dodo na unaogopa kulipoteza hadi unapelekeshwa na mudi zake tofauti.

Kitu kinachopelekea unajikuta, unaomba omba msamaha, unataka kuwa naye kila muda, au unabadili ratiba zako ili yeye awepo kwenye ratiba yako. Ukiona unafanya hivyo ujue thamani yako inashuka mbele yake. Anza kubadilika.

Pia hujionesha kwenye kuongea naye. Pale unapolegeza sauti makusudi ili kuongea na mwanamke yeye ataona kama unajilegeza ili upate kitu toka kwake, atakushusha. Usiongee naye ukilegeza sauti muda wote, kaza sauti iwe bezi ndio uongee naye.

Kutokujijali
Tabia ya uchafu haipendezi. Wengi wetu tumekuwa tukiamini mwanaume inabidi uwe mchafu ili uonekane ulikua na shughuli, au kupenda tu kuonekana msela, wala usijali utanashati wako, au ile imani kuwa geto la mwanaume halitakiwi kupendeza, haipendezi.

Ni vyema kuachana na hizo imani na kuanza kujijali. Sawa unaweza pata mwanamke ukiwa hivyo, lakini ni ngumu kumfanya awe nawe kwa muda mrefu. Pia jali afya yako, mwanamke anakutegeme uwe ngagari na fiti kwa ajili yenu.

Kulalamika kupita kiasi
Mwanaume umeumbwa kuchukua hatua, kutatua changamoto na shida zinazokukumba, sio kumlalamikia mwanamke wako kuhusu hiki au kile muda wote. Hiyo ni tabia ya kike.

Kama kazini wamekuudhi, tafuta suluhisho. Kama biashara inayumba, tafuta suluhisho. Mwanamke wako hakupi unyumba, tafuta suluhisho. Mwanamke wako hakuridhishi, tafuta suluhisho. Huna pesa huna kazi, tafuta suluhisho. Watu wamekuharibia mishe, tafuta suluhisho. Ukilalamika mana yake hautafuti suluhisho.

Ukilalamika mana yake haufanyi maamuzi magumu. Ukimlalamikia mwanamke unamgeuza kama mama yako, kitu ambacho kinashusha/ kupoteza kabisa mvuto wa mapenzi. Kwa kifupi punguza kulalamika. Mwanamke alalamike na wewe ulalamike! Haipendezi.

Kauli mbaya
Mawasiliano hujenga au hubomoa mahusiano. Unapoongea na mwanamke ni vyema uongee naye kwa kauli nzuri. Usimtukane au kumuambia maneno machafu anapokosea, bali mkae kama watu wazima msuluhishe mambo. Ukimkejeli/ kumtukana ataona humjali hisia zake.

Mwanamke ataona hana uhuru na usalama wa kimapenzi kwenye mikono yako, sababu hauwi kama yule mwanaume aliyempenda mwanzoni.

Share na wengine wapate kujifunza.
 
Kumwelewa mwanamke Ni Jambo ambalo halitokaa litokee mpaka siku Dunia inaisha.

Na ukiona umeanza kumwelewa mwanamke wako jua unakaribia kufa.

Hawa viumbe tulishaambiwa tuishi nao kwa akili,Hili pekee linatosha mengine tuachane nayo.
 
Wanawake wa siku hizi ni kama chura. Chura haeleweki amekaa, amesimaa au amelala. Kila mtu ashinde mechi zake hata kwa goli la mkono. Mbinu utakazo tumia kummudu mwanamke wako sio sawa na nitakazo tumia kummudu wa kwangu
 
Ndicho ulichochagua.
 
NAKAZIA.
 
Wanawake wa siku hizi ni kama chura. Chura haeleweki amekaa, amesimaa au amelala. Kila mtu ashinde mechi zake hata kwa goli la mkono. Mbinu utakazo tumia kummudu mwanamke wako sio sawa na nitakazo tumia kummudu wa kwangu
NAKAZIA
 
Kuwa wewe kama wewe na shukuru ulivyo, usiigize mambo kumfurahisha mtu, huo ni utumwa
 
Yote hayo kumridhisha mwanamke?
Alafu tunapewa tuzo au inakuwaje baada ya hapo?
Hao viumbe hawana shukurani
Hakuna chema kwao kadiri utakavyofanya
Ndiyo huona kwamba wanastahili zaidi

Ishi kama ulivyo hata yeye kama ni mwema na anakupenda kweli atakuwa sehemu ya kuhakikisha anakubadilisha uwe vile anavyotaka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana umekua naye kwa miaka/ miezi kadhaa au ndio kwanza unamtongoza mwanamke, na mwanamke anaonesha amekukubali. Mpo pamoja lakini baada ya muda unaona anaanza kujiweka mbali nawe, nakupotezea mno, hamfanyi mapenzi mara kwa mara na hamkutani mara kwa mara tena, na unaona unamkosa.

Inabidi uanze kujiangalia kwanza wewe kabla ya kumsema mwanamke. Inawezekana kuna tabia ulionesha zilizomfanya akushushe thamani na mvuto wako kwake ukapungua. Tabia hizo ni kama;

Kutokuwa na maamuzi
Mwanaume umeumbwa kuwa na maamuzi na ukishafanya maamuzi uyasimamie na uyatekeleze.
Ndio maana ya ujasiri, lakini unapomtegemea mwanamke akufanyie maamuzi hata madogo kama vile unakula nini au mtoke muende wapi, atakuona sio jasiri.

Ila ukiwa na maamuzi, pia utamsaidia mwanamke, maana mwanamke kuna muda hajui aamue nini na atakutegemea katika hilo. Usipokuwa na maamuzi atakuona mwanamke mwenzake tu.

Kumlalamikia/ kumsifia ex wako
Kwamba ex wako alikusababishia hivi au vile mpaka maisha yakawa magumu, au ex wako alikuwa anakupa hiki au kile mpaka ukawa unaridhika. Ukikutana na mwanamke anayejielewa atakupiga chini hata kabla jua halijazama. Achana na ex, yameshapita, furahia na huyo uliyenaye sasa.

Kujishusha kila muda kwa mwanamke
Inatokana na kumuona mwanamke yuko juu yako. Unataka muda wote uwe naye, kumfanya mwanamke ndo kitu pekee maishani mwako. Au kujiona kuwa hustahili kuwa na huyo mwanamke lakini unamtaka, au kuona umepata dodo na unaogopa kulipoteza hadi unapelekeshwa na mudi zake tofauti.

Kitu kinachopelekea unajikuta, unaomba omba msamaha, unataka kuwa naye kila muda, au unabadili ratiba zako ili yeye awepo kwenye ratiba yako. Ukiona unafanya hivyo ujue thamani yako inashuka mbele yake. Anza kubadilika.

Pia hujionesha kwenye kuongea naye. Pale unapolegeza sauti makusudi ili kuongea na mwanamke yeye ataona kama unajilegeza ili upate kitu toka kwake, atakushusha. Usiongee naye ukilegeza sauti muda wote, kaza sauti iwe bezi ndio uongee naye.

Kutokujijali
Tabia ya uchafu haipendezi. Wengi wetu tumekuwa tukiamini mwanaume inabidi uwe mchafu ili uonekane ulikua na shughuli, au kupenda tu kuonekana msela, wala usijali utanashati wako, au ile imani kuwa geto la mwanaume halitakiwi kupendeza, haipendezi.

Ni vyema kuachana na hizo imani na kuanza kujijali. Sawa unaweza pata mwanamke ukiwa hivyo, lakini ni ngumu kumfanya awe nawe kwa muda mrefu. Pia jali afya yako, mwanamke anakutegeme uwe ngagari na fiti kwa ajili yenu.

Kulalamika kupita kiasi
Mwanaume umeumbwa kuchukua hatua, kutatua changamoto na shida zinazokukumba, sio kumlalamikia mwanamke wako kuhusu hiki au kile muda wote. Hiyo ni tabia ya kike.

Kama kazini wamekuudhi, tafuta suluhisho. Kama biashara inayumba, tafuta suluhisho. Mwanamke wako hakupi unyumba, tafuta suluhisho. Mwanamke wako hakuridhishi, tafuta suluhisho. Huna pesa huna kazi, tafuta suluhisho. Watu wamekuharibia mishe, tafuta suluhisho. Ukilalamika mana yake hautafuti suluhisho.

Ukilalamika mana yake haufanyi maamuzi magumu. Ukimlalamikia mwanamke unamgeuza kama mama yako, kitu ambacho kinashusha/ kupoteza kabisa mvuto wa mapenzi. Kwa kifupi punguza kulalamika. Mwanamke alalamike na wewe ulalamike! Haipendezi.

Kauli mbaya
Mawasiliano hujenga au hubomoa mahusiano. Unapoongea na mwanamke ni vyema uongee naye kwa kauli nzuri. Usimtukane au kumuambia maneno machafu anapokosea, bali mkae kama watu wazima msuluhishe mambo. Ukimkejeli/ kumtukana ataona humjali hisia zake.

Mwanamke ataona hana uhuru na usalama wa kimapenzi kwenye mikono yako, sababu hauwi kama yule mwanaume aliyempenda mwanzoni.

Share na wengine wapate kujifunza.
Mbona hujataja kutokuwa na hela
 
Back
Top Bottom