jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ...
Baada ya kuchunguza sana nkagundua huwa wana wa promoti hao waganga chini ya kapet wana maslhi flani pindi wanapo peleka wateja kwa hao waganga ndomana kila mgeni akifika wana mchangamkia fasta
Kama ndo tumefikia hatua hii hakuna tutakaye mwamini tena