jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Tatizo siyo kuamini uchawi ishu nikwamba kwanini wana promoti sana hao waganga mkuu .... kama ni utajiri kwanini wao wasiende mpaka watushawishi sisi wengineUkianza tu kuamini uchawi ndipo utapo amini mambo yako hayaendi unachezewa.
Kwahiyo inamana ndo wawa promoti kweli yani hujui mtu Ana hitaji nini unanza kumweleza habari za kwenda kwa bibi kweli?Wanakuchukua kwa nguvu kukupeleka?
Kama sivyo nini tatizo lao kwako?
Kibaya zaidi hakuna cha uganga wala nini wote utapeli tuHabari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ...
Baada ya kuchunguza sana nkagundua huwa wana wa promoti hao waganga chini ya kapet wana maslhi flani pindi wanapo peleka wateja kwa hao waganga ndomana kila mgeni akifika wana mchangamkia fasta
Kama ndo tumefikia hatua hii hakuna tutakaye mwamini tena
Kwani nawe mganga/babu mkuu?Wanakuchukua kwa nguvu kukupeleka?
Kama sivyo nini tatizo lao kwako?
Sasa utaendaje kwa hao waganga kama wewe mwenyewe hujapinda?Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ...
Baada ya kuchunguza sana nkagundua huwa wana wa promoti hao waganga chini ya kapet wana maslhi flani pindi wanapo peleka wateja kwa hao waganga ndomana kila mgeni akifika wana mchangamkia fasta
Kama ndo tumefikia hatua hii hakuna tutakaye mwamini tena
Akikujibu unitag ....🤣🤣Kwani nawe mganga/babu mkuu?