Usisahau kunipitia Babu yako siku hiyo ya tarehe 29 kwenda kushiriki hayo maandamano. Nimechoka kuitwa Keyboard_Warrior na Stuxnet.Maandamano = Kufa kupona
Muda utaongea !!!Niko hapa hakuna maandamano yatakayofanyika
Kwanini wewe hutaki kuyaongoza?Hii kitu inachukuliwa poa tu lkn inaweza kublackfire
Imagine watoke watu elfu 10 tu kila mkoa police wataweza kuwadhibiti watu hata laki 3?
Ila ningeshauri Kama tunataka maandamano serius wamasai ndio wayaongoze
Haitachukua siku mbili mafisadi yatakuwa yamekimbia Ikulu.
Sasa hivo VITOTO VYA KIKE VITAFANYA NINI!!??? Hamna kitu hapooooHizi ni baadhi ya picha za watu ambao wameshaweka bayana kuwa wataingia road kukiamsha. Huko Tiktok kimeshanuka balaa, watu wanaonesha msimamo wa ajabu sana.
Kama nawaona maafisa usalama wanavyowatazama na kujiandaa kwenda kutoa roho za watu ili kutetea masilahi ya viongozi.