GE2025 Baadhi ya Vijana walioaga kuelekea maandamano ya amani Oktoba 29, 2025

GE2025 Baadhi ya Vijana walioaga kuelekea maandamano ya amani Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii kitu inachukuliwa poa tu lkn inaweza kublackfire


Imagine watoke watu elfu 10 tu kila mkoa police wataweza kuwadhibiti watu hata laki 3?

Ila ningeshauri Kama tunataka maandamano serius wamasai ndio wayaongoze

Haitachukua siku mbili mafisadi yatakuwa yamekimbia Ikulu.
I'll be sleeping on that day watching c drama

Cc; Intelligent businessman
 
Na mtoto wa kiume anamuogopa mwanamke
Huyo anayeogopa mwanamke ni POPOMAA TU, ila kwenye suala kama hilo hwawezi na ni dhaifu sanaaa kwanza miili yao ina mafuta mengi badala ya misuli hata kukimbia hawataweza let's seee it
 
Niko hapa hakuna maandamano yatakayofanyika
Maandamano yapo usidanganywe na wanasiasa wewe unadanganywa na wewe unajaa maandamano yapo ila watakaoandamana halisi sio hao wanaojipost
 
Kiongozi mkuu katoa maelekezo oktoba 29 hakuna "nywinywi" anajua katiba inampa kinga ya mashtaka hata akitoka madarakani.
 
Utawakuta wote hao mwaka ujao mwezi wa kumi wanamsifia Mama yao.
Ushamba wa Simu na Njaa tu.
Anayeenda huko haongei na hayupo.
 
Back
Top Bottom