Unadhani maandamano wanaenda mabaunsa? Angalia maandamano mengi duniani hata yale yanayogubikwa na vurugu, ni morale na determination tu. Kuna vijana kila siku wako gym mbavu nene but they so weak inside, waoga na hawa fighting spirit hata kidogo.Sasa hivo VITOTO VYA KIKE VITAFANYA NINI!!??? Hamna kitu hapoooo
Hujui DuniaUtawakuta wote hao mwaka ujao mwezi wa kumi wanamsifia Mama yao.
Ushamba wa Simu na Njaa tu.
Anayeenda huko haongei na hayupo.
Kaka Mimi ni mtanzania raia wa KAWAIDA mzalendo 😊
Wamasai wakikaa mbele hata mimi naweza nikaungaHii kitu inachukuliwa poa tu lkn inaweza kublackfire
Imagine watoke watu elfu 10 tu kila mkoa police wataweza kuwadhibiti watu hata laki 3?
Ila ningeshauri Kama tunataka maandamano serius wamasai ndio wayaongoze
Haitachukua siku mbili mafisadi yatakuwa yamekimbia Ikulu.
KweliContent creators bana. Wana mtia mama upepo TU 😂, hao vijana sio watu wenye ujasiri wa kuandamana
Wewe unajua mbingu au trash 🚮🚮Hujui dunia