GE2025 Baadhi ya Vijana walioaga kuelekea maandamano ya amani Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa hivo VITOTO VYA KIKE VITAFANYA NINI!!??? Hamna kitu hapoooo
Unadhani maandamano wanaenda mabaunsa? Angalia maandamano mengi duniani hata yale yanayogubikwa na vurugu, ni morale na determination tu. Kuna vijana kila siku wako gym mbavu nene but they so weak inside, waoga na hawa fighting spirit hata kidogo.
 
Ukiandamana utapata nini sasa!?, au huyo Tobo Lisu ndo kawaambia ataingia ikulu mukiandamana, you'd better usipige kura kuliko huo utoto mnaotaka kuufanya
 
Content creators bana. Wana mtia mama upepo TU 😂, hao vijana sio watu wenye ujasiri wa kuandamana
 
Wamasai wakikaa mbele hata mimi naweza nikaunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…